Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

Hv huu mwaka Diamond ametoa wimbo gani ambao inaonekana nyimbo zake hazieleweki? Inaonekana umemfahamu jamaa baada ya kubalehe , Huu ushauri Diamond alipewa 2010 miaka kumi sasa, majungu, fitina na wivu hujenga...mmeshindwa jamaa basi mnataka mumuombe aache Tu mziki sasa
Kamata haueleweki
 
Juzi Diamond amepost teaser ya nyimbo yake mpya, matokeo yake watu wa Nigeria wamemshambulia sana kuwa ame-copy nyimbo ya Wizkid ya Essence, na wamesisistiza kuwa Diamond huwa anacopy nyimbo za Nigeria na kuzifanyia remix [emoji1787]
Kwani uongo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km ile jeje, ni joro kabisa ya wizkid mweeeeh. Kashaishiwa mwana wa Tandale.
 
Back
Top Bottom