Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

Kamata haueleweki
 
Juzi Diamond amepost teaser ya nyimbo yake mpya, matokeo yake watu wa Nigeria wamemshambulia sana kuwa ame-copy nyimbo ya Wizkid ya Essence, na wamesisistiza kuwa Diamond huwa anacopy nyimbo za Nigeria na kuzifanyia remix [emoji1787]
Kwani uongo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km ile jeje, ni joro kabisa ya wizkid mweeeeh. Kashaishiwa mwana wa Tandale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…