Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

We usinitie njaa bana pelekesha ujinga document ya Tra inasoma Naseeb Abdul we unaleta utoto hapa
Document gani hiyo?

Si tulikubaliana ni confidential?

Unayo softcopy?
 
Kampuni gani?

Hizo assets unazosema zake una proof?
Unajua kiasi gani Wasafi inaingiza pesa kwa wiki? Vipi kuhusu WCB? Unafahamu ni kiasi gani mond kalipwa kwa kufanya matangazo na Coca-Cola?, Pepsi je? na makampuni mengine kibao, Shows anazofanya ?


Maisha ni wewe ulivyoamua kuishi sio mtu mwingine anavyokupangia. Nenda YouTube kaangalie wimbo wake wa kwanza kbs kipindi anaanza ku- hustle alikuwa anamiliki nini na leo anamiliki nini.

Bado hatujachelewa, amka tafakari kisha chukua hatua
 
Yaani snoopy au Alicia keys asaidiwe na diamond kujitangaza Africa ? Kuwa serious kidogo basi. Diamond hajapiga picha tu na snoopy bali ameonesha kuwa Kuna kitu kinapikwa.

Bro hivi ni msanii gani Duniani atakae piga picha na legendary kama Snoopy kisha asipost IG? Haya mambo tunayaona ya kawaida na yanawezekana ni miaka hii tu huyu dogo baada ya ku interact na kufanya nao kazi hao wasanii wakubwa wa US mara kwa mara, lakini kabla ya hapo ilikuwa si jambo dogo kabisa hata kufanya kolabo na msanii tu toka naija, mmesahau Diamond alijulikana vipi nje ya Tanzania? Si baada ya kufanya kolabo na wakina Davido?
A.Y ndy aliekuwa master wa kufanya kolabo na wasanii wakubwa wa nje ya TZ na ndy aliyemfungulia njia Diamond. Before ya hapo, tulikuwa na wasanii walioridhika na audience ya ndani ya TZ tu pamoja na kuimba kwao vizuri( MB dog, Marlaw, Juma nature, etc), lakini wengine kama anavyosema Kingwangwala walishindwa kufikiri 'nje ya box' hata kama walipata fursa kidogo ya kuvuka mipaka mfano Mr. Nice, walishindwa kuongeza dhamani kwenye muziki wao, hapo ndipo ilipolala tofauti ya Diamond na wanamuziki wa zamani na sasa .

Kipindi kile kwenye fiesta wanakuja wasanii wa US, wasanii wa bongo walikuwa wanapigana vi pepsi kupiga nao picha back stage, walikuwa wakipanga foleni za kwenda kupiga angalau picha tu, na si wote walikubaliwa, Ali Kiba miaka ya nyuma alipata fursa ya kuimba wimbo na R. Kelly, ilikuwa habari mwaka mzima na huo wimbo si kwamba alikuwa yeye na R. Kelly tu, walikuwa wengi ni wimbo fulani kama project, leo hii Diamond anapewa shout out na kina Busta Rhymes, anajulikana na wasanii wengi wakubwa marekani na anafanya jitihada yeye mwenyewe kuwatafuta na wanamkubali, nakuhakikishia, hakuna msanii wa US mkubwa angekubali kufanya kolabo na Diamond kama Diamond asingekuwa msanii mwenye jina.

Hivi jamani mmesahau kuwa miaka 10 tu iliyopita Diamond alikuwa anamiliki TOYOTA OPA? sasa kutoka kwenye Opa ya milioni 7 mpaka Rolls Royce "fake" jamani humuoni ni hatua kubwa sana hata kama ni fake ingawa me na doubt, let's give a nigger some respect bwana.

Tukubali tu ya kuwa dogo anapambana na anatutoa sana kimasomaso sisi watz.

Kweli kuna mambo anapuyanga lakini haiondoi ukweli ya kuwa dogo kumziki, kimbinu na mipango ya biashara kawafunika wasanii wengi sana katika eneo la ukanda huu wa chini ya jangwa la Sahara, anajua kujiuuza haswa.
 
wewe ni mchawi
 
Yes neno Rolls Royce lipo kwenye bio yake toka enzi za Number 1 na Davido.
Wala hashindani na yeyote.
 
Yaan Daimond kamsaidia alicia keys na snoop kujipenyeza Africa? trust me umezingua kinyama
 
Ha ha ha mzee hapa ndio umejipinda mwenyewe 😂. Wacha ni-enjoy JF raha sana!
 
Maisha yake hayo kwann tumjadili?
Mara hii mshasahau kodi ya unyonyaji iliyojifichia kwenye uzalendo mnajadili vitu vyepesi vya mtu mwenye pesa zake.
Hii nchi kuna tatizo kubwa ufahamu kwa raia wake.
 
Yani mnaongeaga vitu kwa uhakika na matambo jamaaaani.
Hebu muwe mnapata details muhimu kwanza.

Alicia Keys wa kutambulishwa Africa na Naseeb Abdul?
Management mbovu ya Naseeb?
Toka umeanza kumsikia kuna siku umemsikia mwingine kwa level zake?
(Jibu hii kutoka moyoni)
Una uhakika Snoop hajampost Diamond?
Unamzungumiza Zuchu na Mbosso yupi ambao Diamond hapigi pesa kupitia wao?
 
Kuhusu kujipendekeza Kwa wasanii wa marekani,ndugu mwaandishi we ulitaka afanyaje? Kule ndy dunia ilipo,kufanya hivyo inamkuza zaidi kuliko kushuka km unavyotabiri,tukumbuke David aliwahi kufanya hivi Kwa kina chriss Brown,hata Wiz kid pia..lkn why Kwa diamond imekuwa nongwa mazee?

Umesahau kwamba diamond huyuhuyu ilibidi ajipendekeze Kwa Davido Hadi akapata kufanya nae collabo nae Ile remix ya 'My number one' na ndy akatoboa kimataifa na Leo tunamwongelea km mmojawapo wa giants wa Africa?

Kuhusu kupenda sifa..yes wacha afanye,jamaa ana vinasaba vya Christian Ronaldo..Mwamba ni mpambanaji sn
 
Huwezi jua labda Smartphone kaanza kumiliki mwaka huu,so tusimlaumu sana.
Huyu mtoto sie wazee tunaomjua alikoanzia, acha tu tuwe mashabiki zake.
Naseeb anaweza kuwa sio mwanamuziki Bora.
Wala mwimbaji mzuri.
Mimi kwa kweli kabisa kabisa naadmire ever since about him is
AKILI YA KUTENGENEZA, KUIMARISHA NA KULINDA BRAND.

Hapa watapigana mpk watapike utumbo.
 
Kiukweli mkuu mi sijui na ndio maana nimeuliza kwa kwa lengo la kutaka nijue, ila nimekutana tu na madai kua anaingiza 50M kwa week ambapo kwa mwezi anacheza around 350M

Vipi wewe hivyo vitu ulivyovitaja hapo juu unavjua ni kiasi gani vinamuingizia pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…