Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

Hawa watu Wana mimba za chuki..sijui watazaa lini
 
Huu ushauri unampa mtu anayeingiza million 50 kwa wiki ama unamzungumzia nani? Dogo kanunua gari atembelee sio kwa ajili ya Rentals mzee!
Mtu ambaye analala ndani akiwa anacheza mdako na Tiffa kwa mwezi zinaingia zaidi ya 200m.
Leo akakodishe gari kwa ajili ya Harusi za kihaya?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuna idea za kimaskin sana za kuingiza pesa wallahi.
A 40% share holder wa Music Label yenye wanamuziki wa 3 kati ya wa 5 walioshika soko la music Tanzania na Africa Mashariki na Kati?

Zuchu
Mbosso
Rayvanny( forget about the NWL crap)
Wote hawa wapo kwake, leo afilisike kwa kutokodisha gari kwa Bijampora?

Mxxxxxxxiiiieee
 
Unaweza kutuambia nan ana management nzur labda?
 
Kunywa maji utulize nafsi mkuu, umeongea kwa uchungu as if wewe uncle Stamte....aisee
 
Akili za kimasikini hizi ndio zimefanya kila mtu afungue biashara ya Mpesa niliwahi kusema humu biashara zetu wengi wabongo ni biashara za wavivu wa kufikiri wakaninanga kweli! Wajanja wanafungua kampuni za kibiashara ndio zenye hela ukijiset vizuri ndani ya muda mchache tu we ni mtu mpya kiuchumi! Dogo ana pesa sahizi wala hilo halina utata!

Mtu anawaza akope 200M akajenge nyumba 4 za kupanga returns ni after 20 years ahead huku deni linamtesa eti nyumba ni asset wakati kuna mtu anaanzisha estates zake za mipunga kwa hio hela ndani ya miaka mitano anazungumzia 1B plus!

Tumeegama sana kwenye uchuuzi ndio maana watu wanaishia kipato cha kati hawawi matajiri unless uwe unazungusha mtaji mkubwa sana!

Diamond hata akistaafu mziki bado atamenya tu sababu ana uwekezaji wa kueleweka.
 
Kwanini tusimuamini mzungumzaji mwenyewe tukuamini wewe ambae hujui ata moja ya biashara yake?
 
Yani kuna aina flan ya mifumo ya pesa, migumuuuuuuu imerithiwa vizazi hadi vizazi.
Hata maisha tu kwa jumla yani.
 
Tafuta pesa zako ndo uzipangie matumizi acha kupangia matumizi za wengine, Diamond acha atumie pesa zake maana anapambana usiku kucha kuzitafuta,

Unataka afe hajazifaidi ujinga mtupu, maisha ni mara moja tu duniani
Nashangaa unampangiaje mtu matumizi ya pesa zake! Pangia family yako... kila mtu apambane na hali yake
 
Unakataa au unakubali?
kiukweli kama ni mtu mgeni na hawa wasanii wa bongo fleva basi utaona swali langu limekaa ki wack

Sio diamond tu kuna siku moja humu ilikuja mada kua muigizaji wa filamu za bongo movie anaoga kwa kutumia maziwa 3 times per day na sio maji.

Mimi nilipinga na kwa bahati mbaya uyo msanii hakua na tiotle kubwa ya kumiliki mashabiki wengi huku jf wa kumtetea hivyo zile comment za kuitwa mimi mchawi, hater, au mtu ambaye hapendi maendeleo ya watu hazikuwepo

Wapo wajinga walioenda mbali kabisa kudhani kwamba nam criticize diamond kwasababu mimi ni shabiki wa alikiba
 
Yani kuna aina flan ya mifumo ya pesa, migumuuuuuuu imerithiwa vizazi hadi vizazi.
Hata maisha tu kwa jumla yani.
Hizo sio rahisi mtu ku copy na hakuna ushindani sana! Ila hivi vibiashara vya kubadilishia hela ya mboga kama maduka sijui na mpesa! Kila mtu anafanya hizi na sustainability ni ngumu ukiyumbishwa kimtaji unaanguka!

Ila imagine una mikataba ya watu wanakuingizia pesa tu! Kila mmoja kwa issue yake mnakuwa patners kibiashara πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mifumo imara ambayo hata usipokuwepo ina operate hela inaingia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…