hakukuwa hata na haja ya kuishangilia Burundi kwani matokeo yalikuwa dhahiri yanajulikana hata kabla ya mechi.unaonekana uliishangilia Burundi Jana[emoji31][emoji31][emoji31]
wacha wakome hadi fahamu ziwarudi!tuwasamehe wasituangushe Kama taifa stars Jana[emoji24][emoji24][emoji24]
haiwedhekani mthanii wetu pendwa aimbe kidhungu alafu hawa gilammi wajifanye hawaoni, haidhekani nathema tena haiwedhekani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi mwenyewe naona wamemuonea msanii wetu namba moja pamoja na album yake number moja Africa, in Burnaby voice [emoji23][emoji23][emoji23]
Uteam gani? Naona umeamua kujiweka wazi sasa,kumbe umeleta thd kwa misingi ya uteam? team gani hizo? mimi nimechangia jinsi uwasilishaji wako ulivyo na wala sijachangia mada husika,uwe unasoma na kuelewa kwanza,umewasilisha thd kimbea mbea sana halafu unaonekana ni mtu mwenye gubu na ni hater unayetesa nafsi yako.tatizo unaleta uteam kwenye Mambo ya muhimu, kalale kijana inaonekana bado unanyonya eboooooooh shubamit[emoji23][emoji23][emoji23]
fact maana Naona mapovu Kama yotenyie mnaotokwa povu mbona hata hao mnaowashabikia ni maccm? punguzeni wivu wa kike
Mkuu usipende kuwa nyuma kwenye fikra,unachagua msanii just tu ni raia wa nchi yako or qualities za mziki na msanii husika?ingekuwa watu wanawaza the same as you basi wasanii wa china wangeshinda kila mwaka as they are having a population of 1.3 billion +.Think bigunaroho ya kwanini...!!!?? sasa wao watakusaidia Nini na ndo maana mpaka now hawajawa considered [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
you're empty vessel square [emoji23][emoji23][emoji23] ,najua one-day utashikwa tu akili zako[emoji123]You are an empty vessel,ulifikiri kila mtu anaakili za kushikiwa kiasi kwamba kila anachoambiwa anafata?hizi ndo tunaziita akili za kula rambirambi za wananchi
lakini ujue Jana tulikuwa na uwezekano wa kushinda hata goal 12,sema red card ilituaribia sana.hakukuwa hata na haja ya kuishangilia Burundi kwani matokeo yalikuwa dhahiri yanajulikana hata kabla ya mechi.
dimba lilikuwa lishakojolewa nuksi siku 2 kabla!
Hunitishi.Mbingu na aridhi zimesoma comment yako" malipo ni hapa hapa
daaaaaah kaka bado umekaza , wewe hatari sana[emoji28][emoji28][emoji28]wacha wakome hadi fahamu ziwarudi!
Huyo unamjua wewe.Yule mwenye kiberiti kwenye moyo atachaguliwa kuonesha kiberiti chake
thatha kaka tutafanyaje...? wakati yeye ndo mthanii peke ake anayejulikana kutoka Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au tuandamane wamemuonea mthanii wetu pendwa Tanzania [emoji24][emoji24][emoji24]haiwedhekani mthanii wetu pendwa aimbe kidhungu alafu hawa gilammi wajifanye hawaoni, haidhekani nathema tena haiwedhekani
Mwambie babu yenu moyo utamuondoa soonHuyo unamjua wewe.
fact na anaijua maaya ya "flexibility theory" [emoji123]mtoto ananyumbulika huyo "zuchu"
haunisumbui bin uteleze[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uteam gani? Naona umeamua kujiweka wazi sasa,kumbe umeleta thd kwa misingi ya uteam? team gani hizo? mimi nimechangia jinsi uwasilishaji wako ulivyo na wala sijachangia mada husika,uwe unasoma na kuelewa kwanza,umewasilisha thd kimbea mbea sana halafu unaonekana ni mtu mwenye gubu na ni hater anayetesa nafsi yako.
Unaonekana uko na gubu sana mzee,hii kitu Sio poayou're empty vessel square [emoji23][emoji23][emoji23] ,najua one-day utashikwa tu akili zako[emoji123]
"Think big and Grow rich" unajua maana ya uzalendo...?Mkuu usipende kuwa nyuma kwenye fikra,unachagua msanii just tu ni raia wa nchi yako or qualities za mziki na msanii husika?ingekuwa watu wanawaza the same as you basi wasanii wa china wangeshinda kila mwaka as they are having a population of 1.3 billion +.Think big
ko gubi lako ndo poa kaka...!!!?? [emoji28][emoji28][emoji28]Unaonekana uko na gubu sana mzee,hii kitu Sio poa
Uzalendo si utumwa wa fikra"Think big and Grow rich" unajua maana ya uzalendo...?