Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
P did kamuharbu
 
Kumaliza Ubishi aende akapige shoo ya Wazi Mbeya halafu akarudie hii kauli yake Jukwaani
 
Bado atalipa kodi, akileta ya Piddy ataipata fresh...
 
Kuna ukweli kiasi japo na elimu yetu haitufanyi kuwa critical thinkers
 
Diamond amesema nchi imesikia, wewe endelea na habari za kuokoteza
Mimi sina shida na Tulia sijui Tulizo..
Ila siwezi shauriwa na Diamond mambo ya kisiasa.
Nitamsikiliza ushauri wa muziki na milupo.
 
Mimi sina shida na Tulia sijui Tulizo..
Ila siwezi shauriwa na Diamond mambo ya kisiasa.
Nitamsikiliza ushauri wa muziki na milupo.
sawa endelea kuwasikiliza hao wengine, ila ccm itashinda tena
 
Hatuwezi kushauriwa na shoga wa P Diddy kuhusu mbunge wetu. Shika adabu wewe chawa wa Tulia
Ndio nakuuliza wakati anafanyiwa hayo mambo na Pdidy wewe ulimshikia miguu au mlikuwa wote?
 
tulia mitano tena mbeya
 
Huyu Diamond naye anajichanganya tu kama yeye ana mahaba na Tulia akaseme haya maneno kule kule Mbeya Mjini Jimboni kwa Tulia sio kuandika mtandaoni. sinza pazuri mshauri huyu Diamond akaseme kwenye mkutano wa hadhara mbele ya Wapiga kura wa Tulia.
Ile kuitwa Mke wa P Didy imeshapita na haitobadilika asitake kujipendekeza kwa watu wa Mbeya kwenye mitandao.
 
Boss wako Diamond apunguze uchawa. Tulia ni Spika bora kuwahi kutokea bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…