Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Bila shaka wewe akili zako zimeyumba .....hao wasanii uliowataja ...Wana mchango Gani mkubwa Kwa muziki wa TZ

Mchango wa La masimba

Katoa wasanii wakubwa tz ...rayvanny ... harmonize....zuchu....Dvoice

Kaleta tuzo mbali mbali za kimataifa hivyo kuitangaza nchi

Kaleta ajira kupitia media zake
 
Muziki wa TZ haiwezi kufa kwa sababu ya kifo cha Diamond imeandikwa amelaaniwa mtu amtumainie binadamu mwenzake!!
Lakini hiyo isikufanye uwe muoga ku appreciate
 
Kina mwishee wamepumzika lakini mziki unaendelea tu, na wao ndio manguli wa zamani , na mziki wao unaburudisha mpaka leo, mziki utaendelea tu hata huyo mtoto wa tandale akiondoka.
 
Kina mwishee wamepumzika lakini mziki unaendelea tu, na wao ndio manguli wa zamani , na mziki wao unaburudisha mpaka leo, mziki utaendelea tu hata huyo mtoto wa tandale akiondoka.
Soko lake vipi ...la huo mziki wao
 
Mbona ni kama niliona msambazaji wa steps entertainment naye ameanza kuigiza nowadays au ndiyo kusema kazi ya distributions imekuwa ngumu ....

Muhimu hiyo sekta ya Muziki nao wajifanyie tathmini ili nayo isije ikaanguka kama sekta ya filamu
 
Labda ameona waigizaji hawa fit ( wanazingua)
 
Mziki ukidondoka wee utaathirika nn
Au una faida nao wewe

Ova
 
Mbona ni kama niliona msambazaji wa steps entertainment naye ameanza kuigiza nowadays au ndiyo kusema kazi ya distributions imekuwa ngumu ....

Muhimu hiyo sekta ya Muziki nao wajifanyie tathmini ili nayo isije ikaanguka kama sekta ya filamu
Muziki tayari wana online platforms na zinawalipa. Film ni hizo streaming service kama Netflix lakini huko ubora ujazingatiwa kwa hiyo kidogo inakuwa ngumu

Inavyoonekana investment inayohitajika kwenye distribution ni kubwa ndio maana movie kama Vuta nkuvute imeishia cinemas tu mkuu
 
Alikiba anaimba mashairi mazuri

Mondi haimbi mashairi mazuri

Je nani Yuko mbali kimafanikio[emoji23][emoji23]

.....msanii anaimba kulingana na hadhira inahitaji Nini
Dunia ya sasa ukiimba ujinga ujinga ushog ushog lazima upewe support

Ova
 
Ndio maana nimekuambia wewe muziki hujui

Wenzio tumeanza kufuatilia tuzo za Kora na msanii kama Lady jay dee alishapata toka first album

Diamond ni commercial artist hivyo ana impact kibiashara ila kwenye genre ya bongo flava hajaweka impact yoyote zaidi ya kuwa copy cat

Nikikuambia uniletee Diamond platinumz sound unaweza nionesha, vipi kuhusu mb dog, chillah, Juma Nature au TID

Respect the OGs kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…