Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu

Samahani kidogo, hapo kwenye shoo kuboa, ilisababishwa na nini!? Ni watu kuwa wachache ukumbi ukapwaya? Au ni yeye kupiga shoo mbovu!?
Alipiga shoo mbovu kishenzi na hata kucheza walikuwa hawajuwi, yaani hawaendani na beats......jamaa zake walikuwa bize wanaruka sarakasi na domo akawa anapiga kelele tu ili mradi achangamshe umati lakini wapi.
 
Upeo wa mleta uzi n mdogo sana... C ajabu kuona ana mawazo ya kila mzungu ni tajiri! But sorry for him, mental retardness is a disorder not disease!
 
hamna ila anachotaka kutuaminisha ni sawa na kusema elon musk sio tajiri namba moja duniani kwavile hana biashara inayooperate afrika

Mbona Telsa kenya ipo mkuu
 
Upeo wa mleta uzi n mdogo sana... C ajabu kuona ana mawazo ya kila mzungu ni tajiri! But sorry for him, mental retardness is a disorder not disease!

Mkuu, ninaishi marekani zaidi ya miaka 6 now. CV yangu inapingana na unachosema.
 
hamna ila anachotaka kutuaminisha ni sawa na kusema elon musk sio tajiri namba moja duniani kwavile hana biashara inayooperate afrika

Point ni Diamond sio msanii wa kimataifa(hapa tunamaanisha kujulikana kama vile marekani maana ndo soko la mziki lilipo).

Nimechukua wasanii wote na hit zao naona Diamond hayupo coz hana hit song pili hana tuzo kubwa kama vile za wakina burna boy.


Elon ni tajiri wa dunia kwa sababu wamechukua watu wote duniani hakuna mwenye utajiri kama yeye.

Free course
 
Hivi MTV MAMA, MTV EMA x2 na Channel 0x3 sio tuzo kubwa?

Kuna wasanii wanajulikana Afrika still wana make mkwanja mrefu, Hivi unamjua Angelica Kidjo ,kamsomee na tuzo anazo miliki then utajua hata hao wa Nijeria wadogo kwa huyo mama.

Kwa hiyo wewe mkwako msanii ili awe wa kimataifa,lazima ajulikane US? Kama ndio hivyo basi Koffi, Fally Ipupa,Femi Kuti kwa mtizamo wako wa kitumwa wote sio wasanii wa kimataifa.Diamond ukizitoa nchi za Kiarabu kishapiga show zaidi ya 95% ya Afrika.

Ila sijui kwako Kimataifa lina maana gani, ila nimegundua walimu wana tabu sana huko mashuleni.
 
Ni kama mtu anaposema "nina utajiri wa dola milioni moja" hapa sio dola ya Zimbabwe au Singapore inayozungumziwa
 

Unasikia mtu anasema fulani ana utajiri wa Dollors 200B. kwa haraka huwa unafikiri ni dollar ya nchi gani?.


Ndivyo ilivyo msanii anaposema nataka nifike kimataifa kuna nchi analenga.

full stop
 

Wewe ndo wa kimataifa
 
diamond ni msanii maarufu africa ila siyo msanii wakimataifa
 
Hata hapo alipofika kajitahidi tumpe pongezi na hamasa asonge mbele zaidi.
 
Unasikia mtu anasema fulani ana utajiri wa Dollors 200B. kwa haraka huwa unafikiri ni dollar ya nchi gani?.


Ndivyo ilivyo msanii anaposema nataka nifike kimataifa kuna nchi analenga.

full stop
Kwani ukiwa na utajiri wa Riyal, Tsh huo sio utajiri?

Mpaka useme dollars basi ww ndio unamwona huyu tajiri, basi ulivyokuwa mtumwa ukipewa Riyal moja na dollar moja utaikimbilia dollar bila kujua thamani ya Riyal.

Msanii anaposema anataka kufika kimataifa manake anataka kutanua soko lake la kibiashara hili apige hela na haijalishi nchi gani?

Hivi unaujua utajiri wa Koffi, vipi unamwona ana time na hilo soko la US?Ila still ana utajiri wa kutisha.

Ninekuuliza hujanijibu unamjua ANGELICA KIDJO, mfuatilie ndio utajua ulichokiandika na cha kijinga.

Then compare mwenye utajiri wa 200Billion dollars na 200Billion Riyal uone nani ana hela yingi.

Eti "ninakaa Marekani miaka sita.......",labda American Chips Kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…