Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Zuchu nae mpigaji tu
 
Ukisema watoto wa kike, waliopo kwenye mateso,Zuchu sio mmoja wao, huyu ana ukwasi mkubwa kuliko mbunge wa viti ma alum, kama ameshikwa, amejishikisha kwenye we kwa tamaa zake, wacha aliwe mpaka makalio,
Kwa Mimi kama mzazi, na baba wa binti kadhaa, inaleta ukakasi, ukiona mwanamwali wako, analiwa weeeee, na, jamaa, hazai,nae, mimba zinatolewa, anafsnywa kama sex machine tu, hapo zuchu, bikira iliishabanduliwa, na sikia Dangote, aliwahi, kumzamishia kwa mpalange, kidogo akaue katoto ka watu, kesi ilimalizwa kifamilia,
 
Kwa hiyo alikalawiti!!
Nazidi kupata huruma juu yake, mapenzi yamempofusha hasikii wala haoni ila ipo siku atashtuka
 
Shida pia kwa ndugu wa mondi wale ni shetani
 
Na mimi ndio ninachosema Zuu anaishi kwa ajili ya kushindana na watesi wake wakati muda wake unazidi kusonga mbele, Mondi hata akiwa ana miaka 60 bado ataitwa babe na vitoto vidogo vipi kuhusu yeye?
Anapaswa ajitafakari afanye maamuzi magumu na hata Mondi kama anachembe ya huruma kwa yule binti basi amuache huru wabaki kwenye kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…