Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

View attachment 2463774

“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine”

“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza” Diamond
huyu si ndio mpiga tarumbeta wa ccm kwenye kampen mpumbavu kabisa tena wamshughulikie mpaka atie adabu
 
Anazungumzia upande wa urushaji matangazo ya luninga au kwa namna nyingine tuelewe anaisemea tasnia yake kupitia biashara zake...

Tuanzie hapo...kwenye swala la kuhusu title yake kisanaa ndio sababu ya urushwaji wa matangazo kupanda, Kama yeye anavyofurahia kujiingizia fedha basi ni halali awajibike kwenye ulipaji wa kodi
 
Mkiambiwa hiyo serikali ni broke na inaelemewa na madeni amuelewi.

Walau zama za Magufuli walikuwa wanafuata sheria kabla ya kufunga account. Unafuatwa, toa ushirikiano, toa vielelezo (yes sheria inataka utunze ushahidi miaka 5) wanakufanyia bank reconciliation, uko poa unaachwa, kuna shida (huna invoices) wanazuia account kwa upelelezi zaidi, uchunguzi ukiisha unapewa new tax bill. Ukubaliani na kodi mnaenda kubishana mahakamani kama ile shule ya Arusha na unashinda kesi if you are innocent.

That’s the law ila wahuni na wakwepa kodi wakapindisha ukweli kwa kumtukuna Magufuli kwa kutumia TRA kupora wafanyabiashara na baadhi ya wakwepa kodi wamekimbilia NEC sasa.

Desperation ya serikali ya sasa ndio wameanza kupora kweli bila ya kuheshimu sheria, account inashikiliwa bila ya mwenyewe kupewa taarifa kwanza si ndio uporaji wenyewe huo; ina maana muhusika ata ujashirikishwa kuelewa wanataka nini ndio kodi inavyodaiwa hivyo au huu ni uporaji.

Na bado akili zitakaa sawa tu, chezea madeni. Ila safari hii wakituletea tozo za ajabu tutawahamishia wao kuelekea Burundi kwa kuanza na Mwigulu.
 
Aendelee kukatia mauno CCM. He is having a taste of his own medicine. Kwani wakereketwa na wanachama wa chama tawala na wao wanalalamika 'barabarani' kama wapinzani? Si akalalamike ndani ya vikao vya chama huko?
Sio huyu aliyeimba.
Yuleyule baba lao
Makonda baba lao
Akalalamike kwa Makonda. Watu mnaambiwa CCM Ni chama Cha kihuni hamsikii.
CCM mbele kwa mbele. Tena alipe Kodi na tozo huyu mtandale.
 
Akae Kwa kutulia kabisa .

Pesa chafu Kwa Sasa zinamiminika Kupitia Hawa watu.
Akili ya kimasikini huwa inafikiria tajiri kapata hela kwa njia isiyo halali na siku akisikia mwenye hela amepata matatizo basi masikini hufurahi kiasi kwamba itampunguzia ugumu wa maisha.
Sina hela wala mali ila akili za kimasikini sina ndicho najivunia.
 
Yaani huyu chaijaba akae kimya, ndiye alikuwa anawasaidia kujaza mikutano yao ya kampeni.
Kwani ye si alikuwa kazini? Hajazitaka siasa zao.
Wakimzingua akafungue biashara zake hata Kenya au SA mbona wanamtaka sana tu.

Kugombana na diamond ni kugombana na wapiga kura.
 
Mkuu kwani umemuelewa kijana yeye hajapinga suala zima la kulipa na amesema ni mlipaji mzuri wa kodi anacholalamikia ni namna njia wanayotumia TRA kuvamia ofisi as if yeye ni kibaka
TRA huwa wanavamia tu kote..Acha kutetea uchubwada..wakupe taarifa ya nini?..wanakuja ofisini kwako na hapo ndo watasema kilichowaleta ni nini?..

Unataka kusema wenye maduka mbagala huko huwa wanapewa taarifa na TRA kuwa watawatembelea?.
 
TRA wamekaa kibabe Sana nimemsikia Diamond akilalamikia kwamba kama wanashida nae number ya simu yake wanao wampigie au kama lolote lipo yupo teyari kuruhusu majadiliano kuliko kumvamia kwenye ofisi yake kama vile ni kibaka binafsi jamaa kaeleza vizuri Sana kwa Huu upuuzi wa TRA watamchafulia Mama sifa
Akae kwa kutulia zuchu wakutuimbia wapinzani tutetereke kweli?
 
Back
Top Bottom