Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Mkiambiwa hiyo serikali ni broke na inaelemewa na madeni amuelewi.

Walau zama za Magufuli walikuwa wanafuata sheria kabla ya kufunga account. Unafuatwa, toa ushirikiano, toa vielelezo (yes sheria inataka utunze ushahidi miaka 5) wanakufanyia bank reconciliation, uko poa unaachwa, kuna shida (huna invoices) wanazuia account kwa upelelezi zaidi, uchunguzi ukiisha unapewa new tax bill. Ukubaliani na kodi mnaenda kubishana mahakamani kama ile shule ya Arusha na unashinda kesi if you are innocent.

That’s the law ila wahuni na wakwepa kodi wakapindisha ukweli kwa kumtukuna Magufuli kwa kutumia TRA kupora wafanyabiashara na baadhi ya wakwepa kodi wamekimbilia NEC sasa.

Desperation ya serikali ya sasa ndio wameanza kupora kweli bila ya kuheshimu sheria, account inashikiliwa bila ya mwenyewe kupewa taarifa kwanza si ndio uporaji wenyewe huo; ina maana muhusika ata ujashirikishwa kuelewa wanataka nini ndio kodi inavyodaiwa hivyo au huu ni uporaji.

Na bado akili zitakaa sawa tu, chezea madeni. Ila safari hii wakituletea tozo za ajabu tutawahamishia wao kuelekea Burundi kwa kuanza na Mwigulu.
Acha siasa kwenye mambo ya msingi, lipeni kodi acheni ujanja.
 
Wakishika na magari yake yote, atafute aftatu achukue chuma cha Mjerumani hiki.
20221230_214703.jpg
 

Attachments

  • 20221230_214703.jpg
    20221230_214703.jpg
    31.7 KB · Views: 3
TRA Wana haki ya kuingia mahali popote, na wakiingia, si wavamizi, wanaitumia haki yao kisheria.

Hivi unamtaarifu kibaka kwamba nakuja kukukamata?

Ukitaka mke mrembo, kaoe msibani akiwa analia, au muwahi asubuhi bado hajapaka maunga ya urembo.
 

Attachments

  • FlQFa5LWYAI7e95.jpeg
    FlQFa5LWYAI7e95.jpeg
    89.1 KB · Views: 4
Mbona makasiriko mengi humu?
Dogo ananikera tu tabia zake za kuwa karibu na wale watoto mchelemchele, sijui anawapanda au la!
Hayo ya yeye kujihusisha na CCM ni suala lake binafsi hatuwezi kumzuia.
Na suala la TRA, tunajua jinsi walivyo wahuni, japo kwa hapa nabaki sina comment.
Wakae wayamalize.
 

Sheria husika ☝️ ‘Section 45 of the Tax Administration (General Provision) Regulations of 2015; inatoa mwongozo wa investigation process.

Hao wataalamu wamedadavua na hakuna mahala uchunguzi unaanza kwa kufunga account ya mtu.

Unaitwa kwanza kujibu tuhuma, halafu mengine yanafuata. Wao wanaanza kukamata account za watu, halafu ndio unaitwa (tena ni kama almaarufu na umepiga kelele), wengine God knows mitihani wanayokutana nayo.

Hii mijitu ni mijizi inayojua kupora tu.

Sisemi Diamond is 100% innocent au mwingine yeyote account yake iliyozuiwa, ila sheria lazima ifuatwe. Upuuzi huu huwa awawafanyi makampuni yanayotumia international accounting firm, ni wamatumbi wenzao tu ndio wanaowafungia accounts kiholela.
 
Ilikuwa kubambikiana kesi na watu wasiojulikana, sasa CCM wamegeuza issue za kodi kuwa mass of weapon destruction, michezo ya serikali za ovyo ovyo zisizo na maadili ndio zinazotumia institutions zake kukomoa watu badala ya kufanya kazi zilizokusudiwa, TRA sasa wamegeuza TISS na mahakama mbuzi
 
Kabisa Mbona SSB hajalalamika accounts zake kuzuiwa? Dainamo aache mba mba mba, ajiri wahasibu wakufanyie mahesabu na wakuandalie kodi gani unastahili kulipa na uilipe uone kama utasumbuliwa na TRA.
Kiki hii ( movie ) , TRA imepita na account za wakubwa .. kwa lengo la kuonesha kuna usikivu wa serikali kutoka kwa vilio vya wafanya biashara.. hakuna issue hapo
 
Kwa hiyo ulitaka TRA wawe wanakupigia simu kukujurisha kila hatua ambayo walikuwa waipitia mpaka kufikia hatua kuzuia account yake?
Nimekuwekea sheria hapo ya process.

Mtu ambae anastukia tu account yake imefungwa ina maana hana ata habari za tax investigation juu yake.

Umesoma ata hizo taratibu nilizokuwekea, au unatetea kwa kuunga unga tu halafu unafikiri that’s how things work in practice.
 
Back
Top Bottom