ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kodi ilipwe acheni ujanja.Mwajiriwa wa maisha wa wapi ndugu? Siyo kwa makasiriko haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi ilipwe acheni ujanja.Mwajiriwa wa maisha wa wapi ndugu? Siyo kwa makasiriko haya.
Acha siasa kwenye mambo ya msingi, lipeni kodi acheni ujanja.Mkiambiwa hiyo serikali ni broke na inaelemewa na madeni amuelewi.
Walau zama za Magufuli walikuwa wanafuata sheria kabla ya kufunga account. Unafuatwa, toa ushirikiano, toa vielelezo (yes sheria inataka utunze ushahidi miaka 5) wanakufanyia bank reconciliation, uko poa unaachwa, kuna shida (huna invoices) wanazuia account kwa upelelezi zaidi, uchunguzi ukiisha unapewa new tax bill. Ukubaliani na kodi mnaenda kubishana mahakamani kama ile shule ya Arusha na unashinda kesi if you are innocent.
That’s the law ila wahuni na wakwepa kodi wakapindisha ukweli kwa kumtukuna Magufuli kwa kutumia TRA kupora wafanyabiashara na baadhi ya wakwepa kodi wamekimbilia NEC sasa.
Desperation ya serikali ya sasa ndio wameanza kupora kweli bila ya kuheshimu sheria, account inashikiliwa bila ya mwenyewe kupewa taarifa kwanza si ndio uporaji wenyewe huo; ina maana muhusika ata ujashirikishwa kuelewa wanataka nini ndio kodi inavyodaiwa hivyo au huu ni uporaji.
Na bado akili zitakaa sawa tu, chezea madeni. Ila safari hii wakituletea tozo za ajabu tutawahamishia wao kuelekea Burundi kwa kuanza na Mwigulu.
Kodi ni sheria, uendi kuzuia tu account za watu.Acha siasa kwenye mambo ya msingi, lipeni kodi acheni ujanja.
TRA Wana haki ya kuingia mahali popote, na wakiingia, si wavamizi, wanaitumia haki yao kisheria.
Hivi unamtaarifu kibaka kwamba nakuja kukukamata?
Ukitaka mke mrembo, kaoe msibani akiwa analia, au muwahi asubuhi bado hajapaka maunga ya urembo.
“Wapinzani watetereke” in Zuchu’s voice
Sossy huwa ni shida sana na vyuma vyake, chombo Tourage 2.5m alafu ya mdada 😂😂😂😂Wakishika na magari yake yote, atafute aftatu achukue chuma cha Mjerumani hiki.View attachment 2463820
Kabisa Mbona SSB hajalalamika accounts zake kuzuiwa? Dainamo aache mba mba mba, ajiri wahasibu wakufanyie mahesabu na wakuandalie kodi gani unastahili kulipa na uilipe uone kama utasumbuliwa na TRA.Lipa kodi acha janja janja
Kiki hii ( movie ) , TRA imepita na account za wakubwa .. kwa lengo la kuonesha kuna usikivu wa serikali kutoka kwa vilio vya wafanya biashara.. hakuna issue hapoKabisa Mbona SSB hajalalamika accounts zake kuzuiwa? Dainamo aache mba mba mba, ajiri wahasibu wakufanyie mahesabu na wakuandalie kodi gani unastahili kulipa na uilipe uone kama utasumbuliwa na TRA.
Bwana Nasibu hajui kwamba kufanya shoo za nje na mapato kuingia ndani lazima uyalipie kodi
Pasipokujua hiki kikombe wafanyabiashara wote tunanywea....tatizo ujuaji mwingi...hapo unakuta kawazingua sana maofisa, tena huyu atakuwa yule wa "hapa hawalambi hata kumi"Wachafu wanajua wao ni exempted kwenye kulipa kodi.
Kwa hiyo ulitaka TRA wawe wanakupigia simu kukujurisha kila hatua ambayo walikuwa waipitia mpaka kufikia hatua kuzuia account yake?Kodi ni sheria, uendi kuzuia tu account za watu.
Kuna procedure za tax investigation kwa mujibu wa sheria.
Nimekuwekea sheria hapo ya process.Kwa hiyo ulitaka TRA wawe wanakupigia simu kukujurisha kila hatua ambayo walikuwa waipitia mpaka kufikia hatua kuzuia account yake?