Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

Chadema na ccm haviwezi kua pamoja
Unarudia tu yaleyale bila ya maelezo kwa nini haviwezi kuwa pamoja, hata baada ya kuelezwa kwa nini vinaweza kuwa pamoja.

Ni kama umekariri kurudia mstari huo huo kama kasuku?
 
Hao Diaspora wamezifanyia nini familia zao zilizowalea ,achilia mbali nchi hii.
Wengi washaolewa na vibibi vya ughaibuni wamesahau hata familia walizotoka kuwa zina shida mbali mbali.
 
Safi sana Mbowe. Achana na mazuzu hata ufungwe jela miaka 10 hayatakupigania zaidi yatakuwa yana comment tu humu kwenye social media but they have nothing to do.

Nakushauri endelea Kuyajenga na Mama kwa faida ya familia yako. Anayetaka kuendeleza uhasama mwambie AANZISHE CHAMA CHAKE
 
Kama hizo ni kauli za diasport basi itoshe kusema ni WASENGEREMA na akili zao Hazina akili kabisaa! Kwa hiyo walitaka Mbowe asilipwe fedha zake alizodhulumiwa! Au akilipwa amtukane Rais ili awe mpinzani kweli?! They should learn to give credit where it is due!
Sijamuona mbowe akidai katiba mpya toka atoke jela kwa break ya kwanza kutinga Ikulu
 
Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Hao Wote ni wauwaji Na wapenda majisifu. Uliwahi kuvaa viatu vya mapira ya gari? Uliwahi kukaa foleni ya kununua chumvi?
 
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.


Mkuu una akili za kukutisha?
Hata wewe hasimu wako aliyekushika pabaya ,akikulegezea utamrushia mkuki?

Kuna situations ubinadamu na akili ni muhimu.
 
Ubaya wa Haki ni kwamba ukipewa wewe haki yako UTASAHAU HAKI ZA WENGINE.
NI kweli magufuli alimnyima mbowe haki yake ndo maana aliipigania.sasa kapewa haki yake je Atakumbuka HAKI ZA WENGINE?
CheKI akili za kimalaya hizi unataka mbowe apiganie haki zako? Halafu wewe unakatika viuno tuu. Pigania mwenyewe k wewe
 
Issue sio kumsifia bali ni kuupotosha umma kwa kushindwa kwake kuwa muwazi kuhusu sababu hasa inayomfanya amfagilie Hangaya, kiasi cha kukinzana na misimamo yake ya huko nyuma!
Mbowe aliomba maridhiano tangu kipindi cha dikteta 09-12-2019, wewe unataka uendelee kulala na mumeo ndani yeye anateseka magereza, kwanini msianzishe chama chenu na mumeo mkawa wawazi?
 
Mbowe aliomba maridhiano tangu kipindi cha dikteta 09-12-2019, wewe unataka uendelee kulala na mumeo ndani yeye anateseka magereza, kwanini msianzishe chama chenu na mumeo mkawa wawazi?

Nonsense! Kama Ayatollah Mbowe ni mumeo, basi declare interest badala ya kuleta arguments zisizokuwa na kichwa wala miguu!
 
Mbowe ni kiongozi wa umma alipaswa kuangalia nchi inataka nini katika mazungumzo yake na mama sio kufunguliwa account zake za fedha au kurejeshewa bilikanas
Ni sehemu gani ya Katiba au Mkataba wa kisheria unao sema Mbowe anapaswa kuangalia nchi?
Mbona wanaoangalia nchi wametajwa kwenye Katiba ni Rais, Jeshi, Polisi na TISS.

Usimtwishe Mbowe majukumu asiyostahili
 
Ni sehemu gani ya Katiba au Mkataba wa kisheria unao sema Mbowe anapaswa kuangalia nchi?
Mbona wanaoangalia nchi wametajwa kwenye Katiba ni Rais, Jeshi, Polisi na TISS.

Usimtwishe Mbowe majukumu asiyostahili

Ndiye yeye huyo huyo aliyekuwa anataka aungwe mkono katika kupigania Katiba mpya! Hiyo Katiba mpya aliyokuwa anataka watu wamuunge mkono kupigania ni ya ukoo wa Mbowe?
 
Cha msingi ni kwamba BAHARI IMETULIA na MUNGU ametoa hukumu ya haki! Shetani ameshindwa
 
ila kwa jinsi watanzania tulivyo ukijifanya kiherehere wa kutetea utakufa si wewe peke yako na kikazi chako hakuna wakusimama kukupigania walifungwa,wengine wamepotea wengine walipigwa risasi hakuna aliyeonenyesha nia ya dhati ya kuhoji haya, wanaishia mitandaoni na vijiwe vya kahawa tuu ,mfano mdogo tu mtu ukifukuzwa kazi au kusimamishwa hata yule uliyekuwa unafanya naye kazi chumba kimoja achilia mbali wafanyakazi wengine anakuavoid hataki kuonekana yuko karibu yako hili huwa linanifikirisha sana sema katika karama Mungu kawapa wengine karama hii ya kutetea watu japo wanajua kabisa wanaosimama kwa ajili yao hawawezi hata siku moja kusimama matatizo yakitokea .
 
Back
Top Bottom