Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Trump ana matatizo na wamarekani kavunja sheria za kimataifa, taasisi zao zinamuweka kitimoto muda huu.Hata chawa wa Maduro waliwaambia hvy hvy waandamanaji, ww subira neno Tanzania litamkwe na babu Trump ndio utajua hujui
Vijana wa Gen Z hawajielewi, haswa huyu mleta mada mara nyingi ujumbe wake unakuwa wa kitoto tu.Nakwambia hivi, haya ni mabishano ya kidhahania ya JF.
Mmarekani anahakikisha anatetea interests zake.
Wewe poteza muda wako hapa.
Ukipata hiyo arrest warrant niite.
Unapoteza muda kama ulivyopoteza muda kuomba wanajeshi wamuondoe Samia.
You are always lost in alleyways that goes nowhere.
Wanajeshi. Wamarekani. What's next? Utataka Santa aje kumuondoa Samia kama zawadi yako ya Christmas pia?
Kuna hoja hapo au kichaa anamiliki smartphoneWewe lofa umelaaniwa kuliko malofa wote ebu jibu hoja Kwanza.....huu mwaka umeanza Kwa kuchangamka Sana Hadi kieleweke
PoleTrump ana matatizo na wamarekani kavunja sheria za kimataifa, taasisi zao zinamuweka kitimoto muda huu.
Trump kafuata mafuta kule Venezuela, Tanzania haina mafuta ina madini yenye soko kubwa kidunia.
😁😁😁 Naked truthKitu cha msingi, cha kweli na cha muhimu ni kwamba hizi ni hadithi za kujifurahisha wewe na jamaa zako tu.
Marekani haiwezi kujiingiza Tanzania kufanya regime change kwa sababu haina interest na hili, in fact Samia akikutana na Wamarekani na kuwahakikishia interests zao, Wamarekani wanakuwa hawana haja ya kumtoa. Zaidi, watamlinda.
Acheni hizi fantasies kwamba Wamarekani wanawajali sana na watamtoa Samia kwa sababu kaua watu na hafuati demokrasia.
Wamarekani hawawajali hivyo.
Hizi ni fantasies za kitoto, zinawaonesha kuwa nyie hamna akili za kujipigania mpaka leo mnasubiri Mmarekani aje kufanya kazi yenu.
Pia, hizi fantasies zinaonesha kuwa nyie ni wajinga mnafikiri Mmarekani anaweza kuwafanyia kazi yenu ya regime change halafu akawaachia mjiendeshe wenyewe bila yeye kujichomeka na kuwaletea tatizo kubwa zaidi la kuweka mbele interests zake za kuchota resources zenu.
Hii ni dhana ya kivivu, kijinga , kizembe, inayotaka watu wengine wawafanyie kazi ambayo mnatakiwa kufanya wenyewe.
Na kwa ujinga huu mnaweza kuruka majivu mkakanyaga moto. Mkawatoa CCM, mkaingia katika utumwa wa kuwa chini ya Mmarekani na proxy wake.
Acheni ujinga na uvivu wa kumtegea Mmarekani afanye kazi mnayotakiwa kufanya wenyewe.
Huyo Trump Mmarekani kashasema nyie ni shithole countries, how do you lower yourself to the level of asking for help from a man who valls your country a shithole?
Wanaharakati wa Tanzania mna fikra za kivivu sana, mnategea wengine wafanye kazi yenu, mara mnategea wanajeshi, mara mnategea wasomi, mara mnategea Gen Z, mara mnategea Wamarekani.
Hii kazi ni ya Watanzania wote, fanyeni kazi mkifikia point ya kuinesha nhuvu ya critical mass watu w anje watawaona na kuwasaidia tu.
Sasa nyue hata hamjafanya kazi ya maandamano ya wiki tatu mfululizo mnataka Mmarekani aje kuwafanyia kazi yenu?
Aje kumsaidia nani ambaye hata haonekani kufanya kazi yake kwanza?
Nyie mna kitu gani cha kumlipa trump,kwani havamii hovyohovyo mpaka ajue kama kuna mali,au mtamuoza mange kwa trump?Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.
Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.
Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.
Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.
Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.
Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Na bungeni walikuwepo wakifuatilia hotuba ,Punguza taharuki kaka, US na Tanzania wapo vizuri. SSH asingewapokea mabalozi wao pale ikulu Dodoma mwishoni mwa mwaka jana.
Utawala dhalimu machoni kwako wewe, kwa mataifa tunayohusiana nayo hawauoni huo udhalimu!.Mjinga ni wewe unayefikiri utawala huu wa kidhalimu unaonufaika nao unaweza kutolewa kwa njia nyingine zaidi ya msaada wa kimataifa.
Kwa akili zako unaewezaje kuutoa huu utawala wa kidhalimu unaonufaika nao? Ulio compromise taasisi zote hadi Katiba yenyewe?
Vijana watafute shughuli halali za kuingiza vipato wafanye kazi. Hii mipango yao ya kwenda kinyume na serikali iliyopo inaweza kirahisi tu kuwaingiza kwenye kesi za uhaini, wakafungwa wakawaacha wazazi wao na machozi yasiyofutika.Na bungeni walikuwepo wakifuatilia hotuba ,
Binafsi naichukia ccm lakini Hawa wanadhania kwamba USA itamu arrest samuya Wana jidanganya sana , siasa haiko hivyo kabisa Yaani
USA hawezi kufanya hivyo wakati maslahi yake Bado yanalindwa siasa ni biashara siasa ni uchumi
Hakuna Mmarekani atakayetoa Arrest Warrant ya kumkamata Samia.Umejiona ulivyo mjinga?
Ila sikushangai! Hivyo ndivyo watu mnaoishi kwa bahasha za madhalimu mlivyo. Mnajifanya mnaunga mkono juhudi za ukombozi nusu nusu na sio completely kwa sababu mnajua zikija kwenye ukamilifu wake zitaathiri ugali wenu.
Unaongeleaje suala la Arrest Warrant kuungwa mkono wa Marekani wakati ndo kwanza ni wazo nililolileta hapa?
Unapata wapi nguvu ya kukebehi wazo ambalo ndo kwanza limeletwa na halijaanza kutekelezwa?
Ndo mana nakwambia wewe huna audacity ya kusema chochote juu ya harakati za ukombozi maana ya mnufaika wa tawala hizi za kidhalimu zinazotukandamiza Watanzania.
Sasa ukisema watu waombe Santa Claus aje kumkamata Samia kama zawadi ya Christmas hilo nalo si wazo la watu kulifanyia kazi?Arrest Warrant inakuwaje habari ya kujipa moyo wakati ni wazo ndo limetolewa kwa ajili ya kufanyiwa kazi?
Tuache tuanze kufanya hizo jitihada, tupate hiyo Arrest Warrant kwenye Mahakama za Marekani alafu Serikali ya Marekani wakatae kuifanyia kazi ndipo uje kuleta kebehi zako za kushiba hela za rushwa za ccm humu.
Hawa wanaharakati wanaotaka Mmarekani aje afanye regime change Tanzania ni wavivu na wajinga. Tena wako very desperate. Watairukia headline yoyote mpya na kumchomeka Samia bila logic wala reason.Kumtoa Samia wala hatuhitaji msaada wa Marekani.
Mamilioni ya Watanzania wakijitokeza mabarabarani hakuna jeshi lolote lile la Samia linaloweza kuwazuia.
Ndiyo, vifo vitakuwepo.
Pata picha tu hapa Dar es Salaam tukijitokeza watu milioni 3 halafu tuandamane.
JWTZ na polisi hawana manpower ya kuweza kuudhibiti umati kama huo.
Kwenye nchi ya watu milioni 70 tunakosa hata watu milioni 15 wa kuandamana mpaka Samia anatoka?
Ndoto za mchana. Wazungu wana akili sana kuliko wewe. Kwa wazungu Samia sio mbaya kwao kuliko JPM, JK, Mkapa, Mzee Mwinyi au Nyerere. Wote hawa hakuna aliyezuia maslahi yao Tz. Hata Samia hajawazuia kuzoa madini na mali nyingine wanazozihitaji kwetu. Pili, Samia ni mwanamke, ukigombana na mwanamke jiandae kushindwa wewe. Dunia nzima inaelekeza macho na masikio yao kwenye haki za wanawake. Rais Samia is a pilot study. Kila unachofanya na kusema dunia inakuona kama vile unachukua advantage na kukupuuza; maana Samia hajavuka redlines zozote za demokrasia, haki na maslahi ya wazungu. Wazungu wamewekeza sana Tz na mitaji yao iko salama sana kuliko nchingine za Afrika.Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.
Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.
Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.
Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.
Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.
Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Wewe ndo wa kuwasemea wazungu? Wewe ndo mzungu hadi uwasemee?Ndoto za mchana. Wazungu wana akili sana kuliko wewe. Kwa wazungu Samia sio mbaya kwao kuliko JPM, JK, Mkapa, Mzee Mwinyi au Nyerere. Wote hawa hakuna aliyezuia maslahi yao Tz. Hata Samia hajawazuia kuzoa madini na mali nyingine wanazozihitaji kwetu. Pili, Samia ni mwanamke, ukigombana na mwanamke jiandae kushindwa wewe. Dunia nzima inaelekeza macho na masikio yao kwenye haki za wanawake. Rais Samia is a pilot study. Kila unachofanya na kusema dunia inakuona kama vile unachukua advantage na kukupuuza; maana Samia hajavuka redlines zozote za demokrasia, haki na maslahi ya wazungu. Wazungu wamewekeza sana Tz na mitaji yao iko salama sana kuliko nchingine za Afrika.
Kaka mnapoteza muda wenu kuhangaika na Samia. Subirini Rais ajae ambae atakuwa mwanaume mwenzenu.
Wewe ndo Mahakama za Marekani sio?Hakuna Mmarekani atakayetoa Arrest Warrant ya kumkamata Samia.
Piga domo ufurahishe genge.
Logical non sequitur fallacy.Wewe ndo Mahakama za Marekani sio?
Unachofanya ni kupiga ramli tu kama mganga wa kienyeji.Logical non sequitur fallacy.
Mimi kutokuwa mahakama za Marekani haizuii ukweli kwamba Mmarekani ana operate kwa interests zake na Samia so far haja violate interests za Wamarekani.
Huelewi wapi?