Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Mimi sikutupa niligawa friji, jiko, microwave, dishwasher, washer na dryer nikaingiza vitu vipya vya kidijitali. Vitu vya kuokota vipo. Tatizo ni kusafirisha na kuvilipia vitu ulivyookota ili kuviingiza Bongo.

Inategemea ni nyumba ya kupanga au yako.
Haya bhana, kama sikosei utakuwa mhaya wewe, maana si kwa sifa hizo
 
Ni hivi, nje maisha ni mazuri kuliko Tanzania. Acha choo cha paspoti size hata choo cha nje ya nyumba sijawahi kukiona Ulaya au Marekani. Labda cha jumuiya.

Ila kama ulikulia Africa kusahau nyumbani haiwezekani hata hao wanaosema hawarudi tena Afrika ni waongo hawana amani ya moyoni.
 
Mbona LE MUTUZ baada ya kuishi kama nusu karne majuu karudi BONGO na bado anadunda. Na uzuri wake anakubai kuwa alirudi amechoka kiuchumi ukilinganisha na marafiki zake wengi waliokuwa Bongo.Ndio kwanza ameanza maisha upya na on line TV na anatafuta mchumba .Big up LE MUTUZ

View attachment 670975
Huyu mzee alikuwa mtu wa starehe sana, alishindwa hata kuivest kidogo. Hata hapa kuna kitu gani anacho zaidi ya kuongwa vijisenti na mabasha zake.
 
Hivi kufanya biashara uko nje ulaya na America lazima upige ndumba kama uku au?
 
mtoto wa Waziri mkuu mstaafu.Hii fursa wangepata watoto wa wakulima hatari.Jamaa kabaki anabeba viatu vya Diamond na Bashite.Cheki Bashite hafanyi kosa katokea mazingirayetu sasa anambebesha mabegi mtoto wa waziri mkuu asiyejitambua.Hongera Bashite
Huyu mzee alikuwa mtu wa starehe sana, alishindwa hata kuivest kidogo. Hata hapa kuna kitu gani anacho zaidi ya kuongwa vijisenti na mabasha zake.
 
sio mzee bado ni UVCCM
mtoto wa Waziri mkuu mstaafu.Hii fursa wangepata watoto wa wakulima hatari.Jamaa kabaki anabeba viatu vya Diamond na Bashite.Cheki Bashite hafanyi kosa katokea mazingirayetu sasa anambebesha mabegi mtoto wa waziri mkuu asiyejitambua.Hongera Bashite
 
Aisee!

Kuna watu wanaridhika jamani.

Tshs. 1.5M ni wastani wa $750.

Watu wanatengeneza zaidi ya $1000
Ndani ya wiki na ni kazi ya kawaida.
Huyu atahitaji Kurogwa kurudi.
Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..
 
labda uwe baada ya makato ya kodi uwe inayobaki utume Bongo kuwekeza ila dola buku moja huko ni penuts na utaendelea kuwa mtumwa kwani utarudi bongo hana nyumba huna na kujisheua tu.tunafahamu hayo maisha ya huko
Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..
 
Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..

Ha ha ha swali limenikumbusha mbali sana hili.Wakati naomba viza ya USA nilimuuliza rafiki yake kaka huko USA kwa mwezi watu wanapata ngapi. Akaniambia kama dola 800 kwa mwezi. Nikamuuliza inatosha? Akaniangalia kwa dizaini fulani hivi halafu akanijibu inaweza kuisha yote isitoshe. Leo namuelewa alikusudia kuniambia nini.
 
Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..
Swali zuri sana, hela wapata ya kama hiyo ila baada ya makato, kodi, nyumba, gesi, umeme, kodi ya kichwa, chakula, vingine vya anasa kama Catalogues, nguo, viatu, manukato, maji n.k. wajikuta kweli zimebakia kidogo, huko wasemapo gharama kubwa ni nyumba na gesi, kuzuri kutafuta ila mwili ukishachoka kwa kweli nishida, ila wanatofautiana, kuna wale watakaokomaa na hali na kusema yale ndio maisha na wengine waliorudi au kutaka kurudi na kusema yatosha, walichokipata wanashukuru...
Ila pamoja na umaskini wetu, kwa kweli mie napenda TZ, ntafia na kuzikwa hapa hapa..
 
Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..
$1000 Pesa unayoingiza ndani ya WIKI moja,
(Makadirio ya chini)
Sio kwa mwezi.
Utaniambia mtu anaetafuta anatumia $3000 kwa mwezi?
Nazungungumzia U.S. ambako nina ushahidi nako.
 
Ha ha ha swali limenikumbusha mbali sana hili.Wakati naomba viza ya USA nilimuuliza rafiki yake kaka huko USA kwa mwezi watu wanapata ngapi. Akaniambia kama dola 800 kwa mwezi. Nikamuuliza inatosha? Akaniangalia kwa dizaini fulani hivi halafu akanijibu inaweza kuisha yote isitoshe. Leo namuelewa alikusudia kuniambia nini.
Yani huko ukitaka kuishi vizuri lazima uwe na kazi kuanzia mbili...yani mtu analala kama dawa..na kazi huko ni kazi haswa sio huku mtu upo kazini unachati
 
Home is where you make your living! Hizo zingine ni blaah blaah tu!
Perception iliyopo eti ukitenda ulaya au america ukirudi unapaswa uishi maisha tofauti na ya juu tofauti na ya watanzania ambao hawajatoka nje ya nchi. Hicho ndicho kinawaponza na kupotosha wengi kuhusu maisha. Mafanikio au rate ya mafanikio hayaangalii umetoka nje ya nchi au hujatoka, na hayajali umesomanini au wapi.
Kwenda america au ulaya ni kama kwenda mererani unaweza kufanikiwa au kukosa.
 
$1000 Pesa unayoingiza ndani ya WIKI moja,
(Makadirio ya chini)ku
Sio kwa mwezi.
Utaniambia mtu anaetafuta anatumia $3000 kwa mwezi?
Nazungungumzia U.S. ambako nina ushahidi
Sasa mbona hawarudi na kitu mkuu..shida ni nini..na huo mshahara wa Dola 4000 ni kwa kazi gani...
 
Back
Top Bottom