Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Makopo yapo njoo uyaokote bongo haina shida ila utakumbuka ulayaMkuu nami nipeni dira nichomoke aiswe yaani natamani sana nikawe hata muokota makopo nipe process..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makopo yapo njoo uyaokote bongo haina shida ila utakumbuka ulayaMkuu nami nipeni dira nichomoke aiswe yaani natamani sana nikawe hata muokota makopo nipe process..
Haya bhana, kama sikosei utakuwa mhaya wewe, maana si kwa sifa hizoMimi sikutupa niligawa friji, jiko, microwave, dishwasher, washer na dryer nikaingiza vitu vipya vya kidijitali. Vitu vya kuokota vipo. Tatizo ni kusafirisha na kuvilipia vitu ulivyookota ili kuviingiza Bongo.
Inategemea ni nyumba ya kupanga au yako.
Haya bhana, kama sikosei utakuwa mhaya wewe, maana si kwa sifa hizo
We jamaa kabila gani,labda tuanzie hapo?Kujinunulia vitu mwenyewe ndiyo kukua kimaisha. Hivyo chumba chenye kila kitu ukifukuzwa si unaviacha? Siku ukikosa kazi unalala kwenye viambaza vya maduka (homeless).
Huyu mzee alikuwa mtu wa starehe sana, alishindwa hata kuivest kidogo. Hata hapa kuna kitu gani anacho zaidi ya kuongwa vijisenti na mabasha zake.Mbona LE MUTUZ baada ya kuishi kama nusu karne majuu karudi BONGO na bado anadunda. Na uzuri wake anakubai kuwa alirudi amechoka kiuchumi ukilinganisha na marafiki zake wengi waliokuwa Bongo.Ndio kwanza ameanza maisha upya na on line TV na anatafuta mchumba .Big up LE MUTUZ
View attachment 670975
Hivi kufanya biashara uko nje ulaya na America lazima upige ndumba kama uku au?
Huyu mzee alikuwa mtu wa starehe sana, alishindwa hata kuivest kidogo. Hata hapa kuna kitu gani anacho zaidi ya kuongwa vijisenti na mabasha zake.
mtoto wa Waziri mkuu mstaafu.Hii fursa wangepata watoto wa wakulima hatari.Jamaa kabaki anabeba viatu vya Diamond na Bashite.Cheki Bashite hafanyi kosa katokea mazingirayetu sasa anambebesha mabegi mtoto wa waziri mkuu asiyejitambua.Hongera Bashite
Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..Aisee!
Kuna watu wanaridhika jamani.
Tshs. 1.5M ni wastani wa $750.
Watu wanatengeneza zaidi ya $1000
Ndani ya wiki na ni kazi ya kawaida.
Huyu atahitaji Kurogwa kurudi.
Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..
Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..
Swali zuri sana, hela wapata ya kama hiyo ila baada ya makato, kodi, nyumba, gesi, umeme, kodi ya kichwa, chakula, vingine vya anasa kama Catalogues, nguo, viatu, manukato, maji n.k. wajikuta kweli zimebakia kidogo, huko wasemapo gharama kubwa ni nyumba na gesi, kuzuri kutafuta ila mwili ukishachoka kwa kweli nishida, ila wanatofautiana, kuna wale watakaokomaa na hali na kusema yale ndio maisha na wengine waliorudi au kutaka kurudi na kusema yatosha, walichokipata wanashukuru...Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..
$1000 Pesa unayoingiza ndani ya WIKI moja,Swali ni je unatengeneza usd 1000 unatumia ngapi kuishi..
Yani huko ukitaka kuishi vizuri lazima uwe na kazi kuanzia mbili...yani mtu analala kama dawa..na kazi huko ni kazi haswa sio huku mtu upo kazini unachatiHa ha ha swali limenikumbusha mbali sana hili.Wakati naomba viza ya USA nilimuuliza rafiki yake kaka huko USA kwa mwezi watu wanapata ngapi. Akaniambia kama dola 800 kwa mwezi. Nikamuuliza inatosha? Akaniangalia kwa dizaini fulani hivi halafu akanijibu inaweza kuisha yote isitoshe. Leo namuelewa alikusudia kuniambia nini.
Perception iliyopo eti ukitenda ulaya au america ukirudi unapaswa uishi maisha tofauti na ya juu tofauti na ya watanzania ambao hawajatoka nje ya nchi. Hicho ndicho kinawaponza na kupotosha wengi kuhusu maisha. Mafanikio au rate ya mafanikio hayaangalii umetoka nje ya nchi au hujatoka, na hayajali umesomanini au wapi.Home is where you make your living! Hizo zingine ni blaah blaah tu!
$1000 Pesa unayoingiza ndani ya WIKI moja,
(Makadirio ya chini)ku
Sio kwa mwezi.
Utaniambia mtu anaetafuta anatumia $3000 kwa mwezi?
Nazungungumzia U.S. ambako nina ushahidi
Sasa mbona hawarudi na kitu mkuu..shida ni nini..na huo mshahara wa Dola 4000 ni kwa kazi gani...