Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Kweli watu wa Diaspora uzalendo mdogo saa nyingine. Wenzetu wa India na Ethiopia wanauzalendo wa hali ya juu sana.
Safari hii sijui itakuwaje hata mikutano yao ya Diaspora wamefanya nini. Zaidi ni kama sherehe tu. Sasa MAGU hana muda wa mchezo ila kazi tu.
Diaspora nyingi wakikutana wau wanachojua ni kuchangishana. Na kukutana na kula kunywa basi natamani na sisi tuwezaidi ya Ethiopian,nigeria pia na wahindi tusiishie kusapotiana kwenye birthday au harusi au misiba hata kwenye mambo ya ajira pia
 
ni bora na kwenye ile katiba pendekezwa waliwapuuza.............! mnaacha kurudi kwenu unapiga kelele ukiwa nje........
 
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Kwa hiyo unataka Le mutuz awe katibu mkuu kiongozi?
 
Duuuh wala vumbi mmechemka si mchezo ingawaje sasa hivi vumbi limepungua ni mafuriko na topee.
 
Diaspora tunachangia sana maendeleo ya nchi sema tunapuuzwa pasipo na sababu za msingi hasa wivu kwa waliokosa viza na kuishia kupigwa vumbi bongo
 
Kuwa diaspora hakumaanishi kuwa upapatikiwe au kuwa wewe una uwezo kuliko waliopo nchini. Kama una cha ziada kionyeshe na bila shaka utaonekana kutokana na hicho ila sio kwa kuwa wewe ni diaspora.
 
Fungueni group yenu km walivyofanya kapuku forum
 
nikiri DAYASPORA baadhi wamefanikiwa kututoa kwenye mkwamo huu;
1. Prof. Muongo (PhD)
2. Prof. Magembe (PhD)
3. Prof. Tibaijukah (PhD)
4. Dr. Nzuki (PhD)
5. Ms. Kairuki
6. Mr. Nyarandu
7. Dr. Matarajio (PhD)
8. Mr. Mmembe
9. Dr. Ddau (PhD)
 
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
We endelea kubeba box ,akuajiri nani,jiajiri mwenyewe,hakuna cha mawazo mapya wala nini,ni njaa yako tu ,kwani kuendeleza nchi hadi uajiriwe?halafu ndio unajifaya diaspora mna mawazo mapya.Mkinga na Mha aliyejiajiri hapa Bongo hahitaji kuajiriwa lakini mwisho wa mwezi ana milioni zake kadhaa na maisha yanaendelea na hatujamsikia akilalalmika kuwa anadhauriwa,rudini mchangamukie fursa badala ya kubaki kuloloma na kuvipiga deki vibabu njooni tulime mihogo,uwele,mpunga,mtama ,viazi,vitunguu n.k hiyo ndio heshima.
 
sasa nyinyi wala vumbi mnaojidai mna elimu iliyokamilika hata toothpick tu holaaaaaa. Nchi inajengwa kwa misaada. Badala mkimbilie kuwajengea wananch makazi mengi na bora pamoja na mfumo mzuri wa upatikanaji maji safi na salama manakimbilia miflaiova migorofa na midaraja kama ya kigambon.

Sasa iyo elimu yenu inawasaidia nini? Somen muelimike bana
Wanaolalamika sio wala vumbi bali wabeba box a.k.a wapiga deki vibabu na vibibi,wala vumbi wana hela zao na maisha yao na wataishi na kufia Bongo,USA na Europe wanaenda kutembea tu na si kubeba box.
 
Wanaolalamika sio wala vumbi bali wabeba box a.k.a wapiga deki vibabu na vibibi,wala vumbi wana hela zao na maisha yao na wataishi na kufia Bongo,USA na Europe wanaenda kutembea tu na si kubeba box.

Kule uzi mwingine wala vumbi wameichoka bongo na mmoja anaomba mchongo wa kuzamia Aussie mwengine anaomba mchongo wa kuzamia UK
 
Kule uzi mwingine wala vumbi wameichoka bongo na mmoja anaomba mchongo wa kuzamia Aussie mwengine anaomba mchongo wa kuzamia UK
Na tunaona wengi wa beba box wakija bongo wako hoi kimaisha,wengine huwa tunawatumia hela zetu za madafu kutoka bongo,wengi tu tunawatumia fedha ya kununulia madawa,kuchangisha harambee ya kurudisha maiti bongo,nani anataka kwenda kuogesha vibabu bana,unaogesha vibabu halafu unataka uheshimiwe na kupewa ajira hapa Bongo,Bongo hakuna ajira fanya ujasiriamali mambo ya kuajiriwa yamepitwa na wakati.Sasa kama wameichoka Bongo mbona wenzenu wanalilia ''heshima ya kupata ajira''Bongo
 
Ushaambiwa na vijana wa kibongo wanaotaka kutimkia ughaibuni kuwa bongo life ni ngumu
Wengine wamejaribu kilimo cha ufuta na wamekula loss tu
Wengine wameshajiapiza eti "bora mbwa wa Ulaya kuliko mwafrika wa Africa"
Nashindwa kuelewa
 
Back
Top Bottom