wise samura
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 515
- 297
Diaspora nyingi wakikutana wau wanachojua ni kuchangishana. Na kukutana na kula kunywa basi natamani na sisi tuwezaidi ya Ethiopian,nigeria pia na wahindi tusiishie kusapotiana kwenye birthday au harusi au misiba hata kwenye mambo ya ajira piaKweli watu wa Diaspora uzalendo mdogo saa nyingine. Wenzetu wa India na Ethiopia wanauzalendo wa hali ya juu sana.
Safari hii sijui itakuwaje hata mikutano yao ya Diaspora wamefanya nini. Zaidi ni kama sherehe tu. Sasa MAGU hana muda wa mchezo ila kazi tu.