Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Hoja yangu ni wewe kujifanya kama mzawa wa hiyo nchi na wakati hupati stahiki za wazawa.

Tatizo mnadhani kila mtu anayeenda nje kazamia hawana vibali wanaishi kwa kujificha ficha. Watu ni professionals na wengine wana biashara zao halali kabisa but go on if it makes you sleep better at night.

Bongo wazawa mnakula bata tu sio elimu bure, matibabu bure, miundombinu kwa wazawa kama yote, maji umeme bure. Hongereni wazawa wa bongo 😅 😅
 

Diaspora watarudi nyumbani kupata huduma za afya bora na free kwenye magofu ya serikali 😂😂😂
 
Wapo ambao wana maisha yao mazuri huko ila wewe sio miongoni mwao, na ni nadra sana kuwakuta Jamii Forum wakifanya ligi.
 
Sio kweli, tatizo mmewanyima fursa ya kusaidia. Wapeni uraia pacha. Watakuja kuwekeza
 
Alafu NALA sio ubunifu lazima ufahamu sababu biashara ya remmitance iko tokea miaka 90 sibezi hustle zake bali huo ndo ukweli ndo maana benj hapati recognition kivile sababu anafanya kitu ambacho kilikuwepo hata kabla yeye hajazaliwa
Rotimi uliyemtaja anafanya kipi ambacho hakikuwepo? Au mziki kaanzisha yeye? Mbona kama umetoroka mirembe we dogo?
 
Umeme bure!!! Umeme upi mkuu[emoji849]
 
Shemeji anakuita, chakula tayari.
 
Alafu NALA sio ubunifu lazima ufahamu sababu biashara ya remmitance iko tokea miaka 90 sibezi hustle zake bali huo ndo ukweli ndo maana benj hapati recognition kivile sababu anafanya kitu ambacho kilikuwepo hata kabla yeye hajazaliwa
Kwa hiyo boxing, MMA, acting na siasa viligunduliwa na hao uliowataja? Acha wivu we pimbi!
 
AISE MTOA MADA UMESHALIPIA WATOTO ADA MWAKA HUU
USIJE KUTA UNA MSONGO WA MAWAZO
Mdau mmoja hapa anaitwa Kiranga
kanifurahisha kasema hivyi na copy and paste alivyosema
''Huyu jamaa haelewi kwamba mtu kuondoka Tanzania tu kashawasaidia Watanzania waliobaki wagawane kisamvu chao vizuri zaidi bila kuwaghasi''.....................................mwisho wa kunukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…