Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kama umegundua hivyo kwanini usiende wewe alafu ufanye tofauti na wao kisha ulete uzi ya jinsi ulivyofanikiwa abroad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yangu ni wewe kujifanya kama mzawa wa hiyo nchi na wakati hupati stahiki za wazawa.
Nimekuuliza wewe unayeangalia indicator moja kufanya justifications kuhusu life expectany, kwao magonjwa ya kuambukiza sio mengi na vifo vya uzazi na watoto wa changa sio vingi kwa sababu ya huduma bora za Afya ila kwa magonjwa yasiyoambukiza na mtindo wa maisha ni mengi mfano Cancer na husababishwa na vyakula pia.
Na wengi wenu ni nyie diaspora na baadhi Black American ambao mna maisha magumu ya kushindwa kupata huduma nzuri za Afya. Kwa hiyo acha kujifanya wewe ni mzungu wakati mnabaguliwa waziwazi na kutemewa mate ni vizee vya kizungu mnavyo viogesha huko
Wapo ambao wana maisha yao mazuri huko ila wewe sio miongoni mwao, na ni nadra sana kuwakuta Jamii Forum wakifanya ligi.Tatizo mnadhani kila mtu anayeenda nje kazamia hawana vibali wanaishi kwa kujificha ficha. Watu ni professionals na wengine wana biashara zao halali kabisa but go on if it makes you sleep better at night.
Bongo wazawa mnakula bata tu sio elimu bure, matibabu bure, miundombinu kwa wazawa kama yote, maji umeme bure. Hongereni wazawa wa bongo 😅 😅
Wapo ambao wana maisha yao mazuri huko ila wewe sio miongoni mwao, na ni nadra sana kuwakuta Jamii Forum wakifanya ligi.
Sio kweli, tatizo mmewanyima fursa ya kusaidia. Wapeni uraia pacha. Watakuja kuwekezaMtoa mada upo sahihi kabisa diaspora wengi wa Tanzania hasa wanaoishi Marekani hawana lolote kwa sababu mambo ni magumu sana huko..
Diaspora wanao fanya vitu vya maana Tz wengi wao ni wale waliopo kwenye chi kama Qatar Bahrain etc but USA hell no bora hata waliopo Mozambique
Rotimi uliyemtaja anafanya kipi ambacho hakikuwepo? Au mziki kaanzisha yeye? Mbona kama umetoroka mirembe we dogo?Alafu NALA sio ubunifu lazima ufahamu sababu biashara ya remmitance iko tokea miaka 90 sibezi hustle zake bali huo ndo ukweli ndo maana benj hapati recognition kivile sababu anafanya kitu ambacho kilikuwepo hata kabla yeye hajazaliwa
Umeme bure!!! Umeme upi mkuu[emoji849]Tatizo mnadhani kila mtu anayeenda nje kazamia hawana vibali wanaishi kwa kujificha ficha. Watu ni professionals na wengine wana biashara zao halali kabisa but go on if it makes you sleep better at night.
Bongo wazawa mnakula bata tu sio elimu bure, matibabu bure, miundombinu kwa wazawa kama yote, maji umeme bure. Hongereni wazawa wa bongo [emoji28] [emoji28]
Hasira, world remit haijamtembelea.Kwani uliagana nao?
Shemeji anakuita, chakula tayari.Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana
Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k
Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano Obama, Lupita Nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri, wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Kwa hiyo boxing, MMA, acting na siasa viligunduliwa na hao uliowataja? Acha wivu we pimbi!Alafu NALA sio ubunifu lazima ufahamu sababu biashara ya remmitance iko tokea miaka 90 sibezi hustle zake bali huo ndo ukweli ndo maana benj hapati recognition kivile sababu anafanya kitu ambacho kilikuwepo hata kabla yeye hajazaliwa
Kick boxing siuna muona israel adesanya mikanda aliyochukua huo ndo mfano nao uoongeleaKwa hiyo boxing, MMA, acting na siasa viligunduliwa na hao uliowataja? Acha wivu we pimbi!
Utoto unakusumbua ila ukikua utaachaShemeji anakuita, chakula tayari.
Huyo Adesanya ndio alianzisha hiyo kickboxing?Kick boxing siuna muona israel adesanya mikanda aliyochukua huo ndo mfano nao uoongelea
Money remmitance ipo tokea miaka 1940's huko
Benj hakuna ubunifu wowote alioufanya huo ndo ukweli upende usipende
Mi babaako wewe, kuwa na adabu.Utoto unakusumbua ila ukikua utaacha
Unaakili ndogo sanaHuyo Adesanya ndio alianzisha hiyo kickboxing?