Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Hoja yangu ni wewe kujifanya kama mzawa wa hiyo nchi na wakati hupati stahiki za wazawa.

Tatizo mnadhani kila mtu anayeenda nje kazamia hawana vibali wanaishi kwa kujificha ficha. Watu ni professionals na wengine wana biashara zao halali kabisa but go on if it makes you sleep better at night.

Bongo wazawa mnakula bata tu sio elimu bure, matibabu bure, miundombinu kwa wazawa kama yote, maji umeme bure. Hongereni wazawa wa bongo 😅 😅
 
Nimekuuliza wewe unayeangalia indicator moja kufanya justifications kuhusu life expectany, kwao magonjwa ya kuambukiza sio mengi na vifo vya uzazi na watoto wa changa sio vingi kwa sababu ya huduma bora za Afya ila kwa magonjwa yasiyoambukiza na mtindo wa maisha ni mengi mfano Cancer na husababishwa na vyakula pia.

Na wengi wenu ni nyie diaspora na baadhi Black American ambao mna maisha magumu ya kushindwa kupata huduma nzuri za Afya. Kwa hiyo acha kujifanya wewe ni mzungu wakati mnabaguliwa waziwazi na kutemewa mate ni vizee vya kizungu mnavyo viogesha huko

Diaspora watarudi nyumbani kupata huduma za afya bora na free kwenye magofu ya serikali 😂😂😂
 
Tatizo mnadhani kila mtu anayeenda nje kazamia hawana vibali wanaishi kwa kujificha ficha. Watu ni professionals na wengine wana biashara zao halali kabisa but go on if it makes you sleep better at night.

Bongo wazawa mnakula bata tu sio elimu bure, matibabu bure, miundombinu kwa wazawa kama yote, maji umeme bure. Hongereni wazawa wa bongo 😅 😅
Wapo ambao wana maisha yao mazuri huko ila wewe sio miongoni mwao, na ni nadra sana kuwakuta Jamii Forum wakifanya ligi.
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa diaspora wengi wa Tanzania hasa wanaoishi Marekani hawana lolote kwa sababu mambo ni magumu sana huko..

Diaspora wanao fanya vitu vya maana Tz wengi wao ni wale waliopo kwenye chi kama Qatar Bahrain etc but USA hell no bora hata waliopo Mozambique
Sio kweli, tatizo mmewanyima fursa ya kusaidia. Wapeni uraia pacha. Watakuja kuwekeza
 
Alafu NALA sio ubunifu lazima ufahamu sababu biashara ya remmitance iko tokea miaka 90 sibezi hustle zake bali huo ndo ukweli ndo maana benj hapati recognition kivile sababu anafanya kitu ambacho kilikuwepo hata kabla yeye hajazaliwa
Rotimi uliyemtaja anafanya kipi ambacho hakikuwepo? Au mziki kaanzisha yeye? Mbona kama umetoroka mirembe we dogo?
 
Tatizo mnadhani kila mtu anayeenda nje kazamia hawana vibali wanaishi kwa kujificha ficha. Watu ni professionals na wengine wana biashara zao halali kabisa but go on if it makes you sleep better at night.

Bongo wazawa mnakula bata tu sio elimu bure, matibabu bure, miundombinu kwa wazawa kama yote, maji umeme bure. Hongereni wazawa wa bongo [emoji28] [emoji28]
Umeme bure!!! Umeme upi mkuu[emoji849]
 
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana

Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k

Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano Obama, Lupita Nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri, wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Shemeji anakuita, chakula tayari.
 
Alafu NALA sio ubunifu lazima ufahamu sababu biashara ya remmitance iko tokea miaka 90 sibezi hustle zake bali huo ndo ukweli ndo maana benj hapati recognition kivile sababu anafanya kitu ambacho kilikuwepo hata kabla yeye hajazaliwa
Kwa hiyo boxing, MMA, acting na siasa viligunduliwa na hao uliowataja? Acha wivu we pimbi!
 
AISE MTOA MADA UMESHALIPIA WATOTO ADA MWAKA HUU
USIJE KUTA UNA MSONGO WA MAWAZO
Mdau mmoja hapa anaitwa Kiranga
kanifurahisha kasema hivyi na copy and paste alivyosema
''Huyu jamaa haelewi kwamba mtu kuondoka Tanzania tu kashawasaidia Watanzania waliobaki wagawane kisamvu chao vizuri zaidi bila kuwaghasi''.....................................mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom