Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #121
Kuna sehemu nimesema nimezuiliwa kuwa diasporaMtoa mada na wewe pia unaweza kuwa diaspora ukafanya mambo ya maana.
Hamna mtu aliekuzuia.
Wazungu wana msemo, if you want some done and done well, do it yourself.
Ndo swali langu mbona hata watoto wao hatuwasikii kama ilivyo kwa wanigeria au wakenya watoto wao waliozaliwa abroad wanafanya makubwa mfano obama, lupita nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza hawa baba zao walizaliwa kenyaMorocco 3-0 Tanzania
Mtoa mada wamekushambulia Kwa maneno lkn umesema ukweli mtupu
Nchi za wenzetu hasa za Africa magharibi wametoa vipaji vingi sana kwa mataifa yao, malezi mazuri na fursa zilizokuwepo Ulaya wamezitumia vizuri kuleta matunda nyumbani.
Hawa diaspora wa kwetu hakuna lolote wanafanya. Hao watoto wao sijui wanaishia wapi maana hatuwasikii au ndo kusema hawana vipaji?
Hii nchi haina bahati kabisa, tuliokuwepo nyumbani na wa nje wote ni walewale tu
Umepigwa mkuu US hakuna kituπππ Siioni Qatar wala Bahrain Hapo. Afu angalia maokoto ya USA. Story zenu za vijiweni zisizo na facts ziwe zinaishia huko huko vijiweni kwa mazwazwa wenzenu sio kwenye jukwaa la GT.
View attachment 2875093
Mmekuja diaspora, hamna lolote la maana mfanyalo zaidi ya kujifanya mnapinga uwepo wa Mungu ndio pekee mnachoona mmekipokea huko Mambele. Vipi umeshamuogesha na kumtawadha bibi wa kizungu muda huu? Ushaamka hapo kibarazani kwa shemeji yako?Kwani uliagana nao?
Watoto wao hawaonekani kwa sababu Baba zao wenyewe wanalala vichochoroni. Hivi mtu kama Kiranga Atakuwa na mtoto wa maana kweli? Baba mwenyewe anaogesha vibibi vya kizungu huko Mambele.Ndo swali langu mbona hata watoto wao hatuwasikii kama ilivyo kwa wanigeria au wakenya watoto wao waliozaliwa abroad wanafanya makubwa mfano obama, lupita nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza hawa baba zao walizaliwa kenya
Tukiongea tunaonekana wabaya
Bongo kutam kwel.Wanadanganya wengine kwa manufaa gani?
Bongo ingekua kutamu wasingeenda mbele.
hapo ni mahala pazuri pa kuanzia, kwa kusema Diaspora mpo, mnafanya mambo makubwa.Una ushahidi au maneno tu maana sisi tupo na tunafanya mambo makubwa usiongee kitu biΕa facts
Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.Morocco 3-0 Tanzania
Mtoa mada wamekushambulia Kwa maneno lkn umesema ukweli mtupu
Nchi za wenzetu hasa za Africa magharibi wametoa vipaji vingi sana kwa mataifa yao, malezi mazuri na fursa zilizokuwepo Ulaya wamezitumia vizuri kuleta matunda nyumbani.
Hawa diaspora wa kwetu hakuna lolote wanafanya. Hao watoto wao sijui wanaishia wapi maana hatuwasikii au ndo kusema hawana vipaji?
Hii nchi haina bahati kabisa, tuliokuwepo nyumbani na wa nje wote ni walewale tu
Hapo nilipopakoleza pahusike.WA kwnz Huyu APA. Uzi wa Kiswahili na kausom kiswhili lkn Ch ajab anajib kizungu. Huyu Nd wale ukimkut nje anakukataa Kam mtanzania mwnzie na kujion kashakuw mzungu. Utumwa WA Fikra.
Duh ila we jamaa bhna [emoji848]Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.
Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.
Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishu ni Lugha kaka! Mtanzania Huwezi ukajiamini sana kuongea English ukiwa abroad kama wafanyavyo wakenya na wanigeria. Ndio maana wa naishia kupiga picha na kuwaringishia watz wenzao. Huwezi ona wanapost live wakiwa mzigoni.Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana
hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, israel adesanya, Saka, Rotimi n.k
wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano obama, lupita nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Mimi kaniblock nikamwambia hii ni forum na kosa langu ni lipi kuna kipindi alikua anamdiss mtu nikamuambia nionyeshe ulichofanya cha maana akaniblock ila akaja kuniondelea block ila jana kaniblock tena baada ya kumwambia yeye mtu wa kawaida hii ni ishara ya kusumbuliwa na stressDiaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.
Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.
Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block π€£π€£π€£π€£
Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.
Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.
Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block π€£π€£π€£π€£
Wala mimi sio Kiranga.Kiranga umeamua kuja na id yako nyingine
Nionyesheni nyie diaspora mlichofanya au watoto wenu wamefanya nini mfano saka, anthony joshua, israel adesanya, rotim na wengine wengi wazazi wao ni wanigeria nyie mmefanya nini hatuoniWala mimi sio Kiranga.
Unafanya speculations zako tu.
Umeshindwa kujibu hoja za watu unaanza Viroja.
Wewe ni kichaa periodNimegundua humu JF sasa hivi kumejaa wapumbavu wengi sana. Sasa diaspora wa bongo unaweza kuwalinganisha na Kenya, Nigeria au Morocco kweli??? Hao wameanza kusafiri kitambo sana na matunda yao mnaoyaona sasa hivi ni baada ya vizazi na vizaz, sasa wabongo wengi wameingia ughaibuni kwenye 90s, na ni 1st generation. subirini 3rd or 4th generation kama mtakuwepo maana life span ya bongoland ni 50 haahaaha, ndio mseme hivi. Bongo nyoko sana wamejaa watu na husda tu, njaa zinawafanya muwawaze diaspora kila mkijamba ushuzi wa maharage π π π π π π
Umesoma na kuelewa alicho andika Pascal Mayalla hapo juu?Nionyesheni nyie diaspora mlichofanya au watoto wenu wamefanya nini mfano saka, anthony joshua, israel adesanya, rotim na wengine wengi wazazi wao ni wanigeria nyie mmefanya nini hatuoni
Sihitaji maneno matupu
100% correctMimi kaniblock nikamwambia hii ni forum na kosa langu ni lipi kuna kipindi alikua anamdiss mtu nikamuambia nionyeshe ulichofanya cha maana akaniblock ila akaja kuniondelea block ila jana kaniblock tena baada ya kumwambia yeye mtu wa kawaida hii ni ishara ya kusumbuliwa na stress
Mimi mtu akiniambia ni wakawaida sijafanya kitu au kapuku, maskini siwezi mkasirikia sababu nauhakika hanijui ni kama anarusha jiwe gizani nakama nikikasirika alichoongea kina ukweli
Kuna point umeongea ya maana sana hakuna mtu aliyefanikiwa anahangaika kama kuna Mungu au la