Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano
Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.
Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.
Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]