Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Morocco 3-0 Tanzania

Mtoa mada wamekushambulia Kwa maneno lkn umesema ukweli mtupu

Nchi za wenzetu hasa za Africa magharibi wametoa vipaji vingi sana kwa mataifa yao, malezi mazuri na fursa zilizokuwepo Ulaya wamezitumia vizuri kuleta matunda nyumbani.
Hawa diaspora wa kwetu hakuna lolote wanafanya. Hao watoto wao sijui wanaishia wapi maana hatuwasikii au ndo kusema hawana vipaji?
Hii nchi haina bahati kabisa, tuliokuwepo nyumbani na wa nje wote ni walewale tu
 
Ndo swali langu mbona hata watoto wao hatuwasikii kama ilivyo kwa wanigeria au wakenya watoto wao waliozaliwa abroad wanafanya makubwa mfano obama, lupita nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza hawa baba zao walizaliwa kenya

Tukiongea tunaonekana wabaya
 
Watoto wao hawaonekani kwa sababu Baba zao wenyewe wanalala vichochoroni. Hivi mtu kama Kiranga Atakuwa na mtoto wa maana kweli? Baba mwenyewe anaogesha vibibi vya kizungu huko Mambele.
 
Wanadanganya wengine kwa manufaa gani?

Bongo ingekua kutamu wasingeenda mbele.
Bongo kutam kwel.
1705546485140.jpg
 
Una ushahidi au maneno tu maana sisi tupo na tunafanya mambo makubwa usiongee kitu biła facts
hapo ni mahala pazuri pa kuanzia, kwa kusema Diaspora mpo, mnafanya mambo makubwa.

Wenzako wengi wametukatisha tamaa, wamejibu kwa mihemko inayoonyesha wana hasira na labda ni kweli wako nyuma. Wamesema pilipili ya shamba inatuwasha, Watanzania tuna wivu, hatukuagana nao, tunakula nyanya chungu huku Nanjilinji, tunajenga reli miaka 7.

Wengine wamejibu kwa kuiga viingereza vya Wamarekani ambao hawakusoma.

Mada ya mtoa hoja - mchango wa wahamiaji na jinsi wanavyofanikiwa au kufeli ugenini - akiipeleka chuo chochote duniani kama pendekezo la andiko la dissertation ya shahada ya uzamivu hawatamwambia "wewe mchawi.... pilipili ya shamba inakuwasha nini..... uliagana nao hao diaspora"?

Kuna mahala diapora wanapaswa kujitathmini.
 
Kama ku survive bongo shida, unafikiri ku survive ughsibuni ni swala Dogo? Acheni kukatisha watu tamaa,wapo watu wanajwribu kufanya makubwa,
Tusiangalie mabaya tu, vipo vzr watu wanafanya,
 
Morocco 3-0 Tanzania

Mtoa mada wamekushambulia Kwa maneno lkn umesema ukweli mtupu

Nchi za wenzetu hasa za Africa magharibi wametoa vipaji vingi sana kwa mataifa yao, malezi mazuri na fursa zilizokuwepo Ulaya wamezitumia vizuri kuleta matunda nyumbani.
Hawa diaspora wa kwetu hakuna lolote wanafanya. Hao watoto wao sijui wanaishia wapi maana hatuwasikii au ndo kusema hawana vipaji?
Hii nchi haina bahati kabisa, tuliokuwepo nyumbani na wa nje wote ni walewale tu
Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.

Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.

Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block 🤣🤣🤣🤣
 
WA kwnz Huyu APA. Uzi wa Kiswahili na kausom kiswhili lkn Ch ajab anajib kizungu. Huyu Nd wale ukimkut nje anakukataa Kam mtanzania mwnzie na kujion kashakuw mzungu. Utumwa WA Fikra.
Hapo nilipopakoleza pahusike.
Shobo za nini kwa watu?

Sera moja wapo ya msingi ya kuzingatia ukiwa Nje ya Nchi ni 'kuwaepuka Wabongo'.
Aliongea Mtanzania mmoja alieko Uingereza.

Nimenukuu,
Yupo huru na sina sababu ya kumkosoa.
 
Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.

Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.

Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh ila we jamaa bhna [emoji848]
 
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana

hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, israel adesanya, Saka, Rotimi n.k

wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano obama, lupita nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Ishu ni Lugha kaka! Mtanzania Huwezi ukajiamini sana kuongea English ukiwa abroad kama wafanyavyo wakenya na wanigeria. Ndio maana wa naishia kupiga picha na kuwaringishia watz wenzao. Huwezi ona wanapost live wakiwa mzigoni.
English imetunyima kujiamini mbele ya mataifa, imetunyima fulsa nyingi huko nje na hapa ndani vilevile. Na bado serikali inapambana Lugha ya kufundishia iwe kiswahili shule za msingi ambako ndiko watoto wanatakiwa wajengwe kujiamini. Kuanza kuitumia Lugha hiyo secondary wakati mtoto tayari ameshakua mkubwa, hatajifunza vizuri aje kuzungumza confidently mbele ya watu
 
Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.

Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.

Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block 🤣🤣🤣🤣
Mimi kaniblock nikamwambia hii ni forum na kosa langu ni lipi kuna kipindi alikua anamdiss mtu nikamuambia nionyeshe ulichofanya cha maana akaniblock ila akaja kuniondelea block ila jana kaniblock tena baada ya kumwambia yeye mtu wa kawaida hii ni ishara ya kusumbuliwa na stress

Mimi mtu akiniambia ni wakawaida sijafanya kitu au kapuku, maskini siwezi mkasirikia sababu nauhakika hanijui ni kama anarusha jiwe gizani nakama nikikasirika alichoongea kina ukweli

Kuna point umeongea ya maana sana hakuna mtu aliyefanikiwa anahangaika kama kuna Mungu au la
 
Nimegundua humu JF sasa hivi kumejaa wapumbavu wengi sana. Sasa diaspora wa bongo unaweza kuwalinganisha na Kenya, Nigeria au Morocco kweli??? Hao wameanza kusafiri kitambo sana na matunda yao mnaoyaona sasa hivi ni baada ya vizazi na vizazi, sasa wabongo wengi wameingia ughaibuni kwenye 90s, na ni 1st generation. subirini 3rd or 4th generation kama mtakuwepo maana life span ya bongoland ni 50 haahaaha, ndio mseme hivi. Bongo nyoko sana watu wamejaa na husda tu, njaa zinawafanya muwawaze diaspora kila mkijamba ushuzi wa maharage 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.

Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.

Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block 🤣🤣🤣🤣
 
Wala mimi sio Kiranga.

Unafanya speculations zako tu.

Umeshindwa kujibu hoja za watu unaanza Viroja.
Nionyesheni nyie diaspora mlichofanya au watoto wenu wamefanya nini mfano saka, anthony joshua, israel adesanya, rotim na wengine wengi wazazi wao ni wanigeria nyie mmefanya nini hatuoni
Sihitaji maneno matupu
 
Nimegundua humu JF sasa hivi kumejaa wapumbavu wengi sana. Sasa diaspora wa bongo unaweza kuwalinganisha na Kenya, Nigeria au Morocco kweli??? Hao wameanza kusafiri kitambo sana na matunda yao mnaoyaona sasa hivi ni baada ya vizazi na vizaz, sasa wabongo wengi wameingia ughaibuni kwenye 90s, na ni 1st generation. subirini 3rd or 4th generation kama mtakuwepo maana life span ya bongoland ni 50 haahaaha, ndio mseme hivi. Bongo nyoko sana wamejaa watu na husda tu, njaa zinawafanya muwawaze diaspora kila mkijamba ushuzi wa maharage 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Wewe ni kichaa period
 
Mimi kaniblock nikamwambia hii ni forum na kosa langu ni lipi kuna kipindi alikua anamdiss mtu nikamuambia nionyeshe ulichofanya cha maana akaniblock ila akaja kuniondelea block ila jana kaniblock tena baada ya kumwambia yeye mtu wa kawaida hii ni ishara ya kusumbuliwa na stress

Mimi mtu akiniambia ni wakawaida sijafanya kitu au kapuku, maskini siwezi mkasirikia sababu nauhakika hanijui ni kama anarusha jiwe gizani nakama nikikasirika alichoongea kina ukweli

Kuna point umeongea ya maana sana hakuna mtu aliyefanikiwa anahangaika kama kuna Mungu au la
100% correct
 
Back
Top Bottom