Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Shida ni unyonge mifumo yetu inatufanya wananchi wawe wanyongeee sana kila sector tunafanya kiuwoga uwoga ..
Kama taifa tutizame namna nzuri mtindo wa maisha isee.
 

mi nilijua unaongelea maendeleo wanayopeleka kwene nchi mama kumbe unaongelea maisha binafsi!!

Kazi kweli kweli
 
We maskini Umbwa takataka Kafie mbele qmmmk.

Mama yako bora angetoa kizazi kuliko kuzaa mbwa kapuku takataka kama wewe.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Wacha mbwembwe. Sema umefanya nini la maana zaidi ya kuuza tako kwa wazungu huko?πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†
 
mi nilijua unaongelea maendeleo wanayopeleka kwene nchi mama kumbe unaongelea maisha binafsi!!

Kazi kweli kweli
Hata kwenye nchi mama, wakwetu hawa akina Nyani Ngabu , Kiranga , Maghayo na Infropreneur hawawezi fikia hao Wanaijeria na wakenya mkuu. Wengi ni jobless huko nje. Wanastrugle tu huko kwa kubeba mabox, kuogesha wazee wa kizungu n.k so hawana mchango wowote zaidi ya kututisha humu na tuviingereza vingiπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…
 
Mtu anatakiwa kuishia maisha yake, ayatakayo, bila kusumbuwa mtu au kusumbuliwa, sadly dunia haiko hivyo, kupondona kupo, hata iweje!
Pia tukubali wenzetu ughaibuni wana I miss bongo! Pamoja na uchafu wake, umaskini wake nk nk
Ila ukweli unauma, usemayo yana ukweli!
Pamoja na yote. BONGO TAMU SIJUTII KUZALIWA AU KUISHI HAPA.
 
Diaspora wa Kitanzania wataishia kufa masikini nchi za watu...
Maisha yamewapiga wanataman kurudi bongo ila wanaona aibu kwasabab hawana maisha hawana pesa, kitu pekee wanachomiliki huko ughaibuni ni mawigi na raba za airforce...
Nyie kufeni huko ila msisahau kutunza pesa kwaajili ya kusafirishia maiti zenu kuja bongo, otherwise mtazikwa huko kama mbwa koko...
UKWELI MCHUNGU
 
Watasema unawaonea wivu. Hawatakagi kuambiwa ukweli yani
 

Your point is baseless.

Mtu akudanganye wewe anamaisha mazuri ili apate faida gani? Anapata nini kutoka kwako? Unampa hela au? What if ana maisha mazuri kweli?

Wewe huna shughuli za kufanya hadi ufuatilie nani ana maisha mazuri kweli au mabaya?

Kama unadhani watu wengi wana maisha mazuri bongo kuliko nje, basi na wewe waonyeshe hao diaspora hizo picha ili na wao wakuonee wivu. If that were the case, watu wasingekua wanauliza jinsi ya kwenda nje kila siku.
 
Wacha mbwembwe. Sema umefanya nini la maana zaidi ya kuuza tako kwa wazungu huko?πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„
Wewe unakipi cha maana ulichofanya zaidi ya Ukapuku, ufukara na umaskini wa baba yako aliyezaa fala, mbwa na maskini takataka kama wewe..!!

Baba yako maskini kakuzaa wewe li maskini lingine huna ulichofanya, unakuja kuuliza watu usiowajua nini wamefanya.
 
Ngoja waje wakupopoe kwa mawe. Ni ukweli ingawa kuna kauchungu fulani hivi.

Wengi tunabangaiza life hakuna la maana na miaka inaenda kasi.

Kimaisha wengi hatujatoboa kivile isipokuwa exposure, ila full stress ya kutoboa kimaisha.

Tunaishi magetoni zaidi ya miaka 15. Huwa narudi home mara moja moja kusalimia, baadhi ya jamaa tuliowaacha bongo wametupiga gap kali la life.

Tunachowazidi ni; lugha, mavazi, miondoko ya kimamtoni na exposure.

Mfukoni tupo apeche alolo.

Huku homeless na life duni kwa baadhi ya wenyeji wapo, ukute mbongo anakuja mamtoni bila ramani ategemee msoto mkali.
 
Vipi yule mmiliki wa NALA Tanzania aliyekataa mshahara wa milioni 200 Microsoft? Au unatumia makalio kuwaza?
 
Unamjua Benjamin Fernandes kijana mtanzania mmiliki wa NALA?
 

Warudi kwenye mgao wa umeme, hospital, barabara, shule mbovu. Hakuna maji, hakuna kazi, Vumbi kama lote etc. Itakua kweli wanatamani kurudi huko. Waringishie na wewe picha za bongo waone wivu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
We maskini Umbwa takataka Kafie mbele qmmmk.

Mama yako bora angetoa kizazi kuliko kuzaa mbwa kapuku takataka kama wewe.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
punguza stress mkuu shule ulikataa mwenyewe maisha yamekupiga usilaumu watu.

We si uliona kubeba daftari ni zito, beba box sasa huko ughaibuni
 
Wewe una kipi ulichowapita hao wa Nigeria?

Nakwambia hivi, Mama yako bora angetoa kizazi kuliko kuzaa maskini mbwa takataka kama wewe.
 
punguza stress mkuu shule ulikataa mwenyewe maisha yamekupiga usilaumu watu.

We si uliona kubeba daftari ni zito, beba box sasa huko ughaibuni
Hunijui halafu unasema maisha yamenipiga.

Unafanya speculations uchwara tu.

Baba yako bora angemwaga manii zake chooni kuliko kuzaa maskini mbwa takataka kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…