Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana na hata watoto wao ndo hawa wakina anthony joshua, saka, rotimi n.k

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Mafala huwa hamuishi, mnazaliwa kila siku na kuishi muda mrefu ili murndelee kuuguzwa kwa mambo yasiyowahusu.
 
h
Ni jukumu la kila mtu kufanya jambo la maana haijalishi yupo wapi
Hilo jukumu 'Wana-diaspora' wamepewa na nani, kwa mamlaka gani, lini, wapi na kwa ushahidi gani?

Nimegundua kuna watu wanakondeana mtaani lakini ni kwa kuwa tu wanayo Vita kali sana ya husda, wivu na kuona donge nafsini mwao dhidi ya yasiyowahusu na kwa wasiowahusu pasi na sababu za msingi hata moja.

Aisee, shida.
 
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana na hata watoto wao ndo hawa wakina anthony joshua, saka, rotimi n.k

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Wamekusikia, subiri majibu yao.
 
Ok, but how is that any of your concern?

You don’t got a life of your own and wish to live vicariously through others or what?
WA kwnz Huyu APA. Uzi wa Kiswahili na kausom kiswhili lkn Ch ajab anajib kizungu. Huyu Nd wale ukimkut nje anakukataa Kam mtanzania mwnzie na kujion kashakuw mzungu. Utumwa WA Fikra.
 
majuu nenda ukiwa na kisomo kinachopendwa kule, ukienda huna kisomo unategemea kubeba box, utaumia sana na hakunaga kusaidiana kule kila mtu na hamsini zake. wabongo wazamiaji wengi ukikutana nao kule utakuta wanakuvizia wakuombe pesa na hawachelewi kukuuuza, na wanajifanya wenyejiii wajuajiiii watoto wa mjiniii kumbe hamna kitu. wengi hasa wanaume wanaishia kujishikiza kwa wanawake mtaji kiuno, siku akishindwana na mwanamke anakuwa homeless kwa muda kadhaa hadi apate mwingine.
 
Ok, but how is that any of your concern?

You don’t got a life of your own and wish to live vicariously through others or what?
nyani ngabu, icho ulichoandika hapa ni kiingereza, au ndio zile american slang? mtoto wangu wa darasa la sita hapa bongo anaandika kiingereza kizuri kuliko hiki. "you don't got a life of your own" ndio nini icho? sasa hawa ndio wameendaga huko hawana shule, wanabeba mabox na kuchunga wazee. anashindwa hata na mtu aliyesoma HGL tu hapa bongo.
 
Back
Top Bottom