Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatembelea upepo wa kishetaniKwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
Utakuwa ni wakala wa mabeberu
Kwani umetumia vigezo gani kumuita dikte?Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Hangaya anadhid kuleta wajomba zake Tanzania..na anadhid kuimarisha ufisadi Tanzania...huoni mkuu? Hivi kweli utamlinganisha Hangaya na Traore....acha masihara banaaa....Traore balaaa ....ni mwambaKafanya nini kumzidi Hangaya?
Waafrika wengi wanapenda maigizo halafu wakishaona magwanda ya jeshi akili zinawatoka, kwa sababu wanapenda kupelekwa kibabe kama punda.Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Hebu tuthibitishie kuwa hakualikwa kweli akakataa, isije ikawa wewe ndio MwongoKwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Kwamba ndiye siyo dikteta!! 😁😁😁!Wee pambana na chura kiziwi wako
Sasa shida ikowapi hapo na huyo ni mwanajeshi?Ni muendelezo wa upuuzi,ujinga na akili za sisi waafrika huyu bwana mdogo naye ni mtu mjinga mjinga anavaa combat kila siku kama vile yupo vitani
Akili ndogo huyu na wafuasi wake
Huyu ni kama Magufuli alivyovuma na upepo. Nilipoona mikogo ya wale walinzi na yeye mwenyewe niliona hakuna jipya.Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Atachokwa, ni suala la muda tu. Afrika ndivyo watu walivyo na ulimbukeni wa kushangilia marais kama hao. Zamani alikuwepo jamaa akiitwa master sergeant Samuel Doe. Naye alipindua akiwa kijana na alikuwa mtu wa kombati muda wote. Alishangiliwa sana lakini baadae akaja kugeuka kuwa dikteta na kuuawa kwa aibu na mwili wake kutembezwa mitaani.Ni muendelezo wa upuuzi,ujinga na akili za sisi waafrika huyu bwana mdogo naye ni mtu mjinga mjinga anavaa combat kila siku kama vile yupo vitani
Akili ndogo huyu na wafuasi wake