Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

Huyo wanaomsifia sana ni wale wenye mafungamano na magaidi wakati haohao magaidi ndio wanataka wamng'oe madarakani ili waweke utawala wenye kutumia zile sheria za waarabu wa karne ya saba.
 
Hahahahahah we Mi mi umenichekesha unajua mpaka nimeanza kuogopa mana naweza pigwa ban mana nakuwa naandka kwa hasira sana yaan kuna watu wanazingua sana mtu hajui hata aya mambo yanatokea kwa ajili gani na kwa manufaa ya nani. like hayati alivoanza kuwakazia tu white men akawa dictotor.. yote ni madhara ya elimu yetu watu hawawez kutumia iq yao binafsi .acheni maujingaujinga hata mm niiteni dictotor mana nawaambia ukweli.
 
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Waafrika wengi wanapenda maigizo halafu wakishaona magwanda ya jeshi akili zinawatoka, kwa sababu wanapenda kupelekwa kibabe kama punda.
 
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Hebu tuthibitishie kuwa hakualikwa kweli akakataa, isije ikawa wewe ndio Mwongo
 
Ni muendelezo wa upuuzi,ujinga na akili za sisi waafrika huyu bwana mdogo naye ni mtu mjinga mjinga anavaa combat kila siku kama vile yupo vitani

Akili ndogo huyu na wafuasi wake
Sasa shida ikowapi hapo na huyo ni mwanajeshi?
 
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Huyu ni kama Magufuli alivyovuma na upepo. Nilipoona mikogo ya wale walinzi na yeye mwenyewe niliona hakuna jipya.
 
Ni muendelezo wa upuuzi,ujinga na akili za sisi waafrika huyu bwana mdogo naye ni mtu mjinga mjinga anavaa combat kila siku kama vile yupo vitani

Akili ndogo huyu na wafuasi wake
Atachokwa, ni suala la muda tu. Afrika ndivyo watu walivyo na ulimbukeni wa kushangilia marais kama hao. Zamani alikuwepo jamaa akiitwa master sergeant Samuel Doe. Naye alipindua akiwa kijana na alikuwa mtu wa kombati muda wote. Alishangiliwa sana lakini baadae akaja kugeuka kuwa dikteta na kuuawa kwa aibu na mwili wake kutembezwa mitaani.
 
Tatizo kubwa la Afrika kwa sasa hivi ni nini ? Kwa ufupi tu ngoja nikumegee

Corruption drains an estimated $10 billion annually from African economies, diverting crucial resources from healthcare, education, and infrastructure development. The scale of these illicit financial flows undermines economic growth and erodes public trust in institutions across the continent.

Bila corruption kutoka kwa walamba asali wala tusingehitaji msaada hata wa senti moja.., yaani more wealthy is moved illegally from Africa kuliko inayorudishwa kwa so called misaada.

Sasa ukiona a breath of fresh air mtu ambae hataki kuendana na status quo kama wengine ambao wametoka kabisa kwenye self reliance na kuwa vibaraka, lazima utakubali na mtu wa tofauti kama huyu...

I had rather have a more of that guy than a few of these guys....

1737472003250.png
 
Back
Top Bottom