Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Kiufupi anataka kukuendesha sababu anajua unampend kaza roho mwambie Kila mmoja aangalie maisha yake umuone mtazamo wake huenda yupo kwako kimaslahi ya kupata pesa tuuuh
 
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha
maringo

1.
mwenendo au tabia ya kujivuna

2.mwendo wa mbwembwe


majivuno

hali ya kujiona



mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
punguani

mtu aliyepungua akili

 
mkuu, kwa kitendo cha kufika kuomba ushauri ni hekima tosha sana kuhusu hilo jambo lako..., kitu naweza ongezea hapo ulipo ni kwamba USITHUBUTU KUMWANDIKISHA HATA AWE MMILIKIWA CHAJA YA SIMU YAKO.

Hii ipo wazi sana kwamba upo naye kama alivyo na yeye yupo na wewe kama ulivyo, yaani mazingira yako (Chemical shift). so kimsingi ni kwamba inawezekana anapenda zaidi mazingira yako kuliko wewe mwenyewe. so kitendo cha kumwandikisha kitakuwa ndo tamati ya mahusiano yenu na wewe ndo utakaye umia maana hutakuwa na tena na chochote cha kumzuzua nacho, provided kwamba vilivyo kuwa vyako ni vyake....It'll be you who will suffer the most. na usisahau kwamba women japo wana huruma, lakini ndo wanyama zaidi ya wanaume.
 
Mkuu umenena jambo moja zito sana shukrani!
 
so hata kama ulikuwa na mpango wa kuishi naye kama mke basi itapendeza kama ukianza mapema kutafuta mbadala wake...kila la kheri ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…