Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

Si umeona hapo huyo baba mtoto kafariki mkuu
 
Mambo ni 2 tu hapo Apige kavu au atumie condom.
Either ampeleke Kwa ndugu zake hata kama Wana hali duni ya kimaisha au abaki nae ili aje ashikwe Kwa kosa la jinai.
Sawa sawa
Kuhusu upendo Huwa unaisha kama yeye upendo wake ulivyoisha Kwa huyo mtoto.
Lakini kama anaweza kujizuia kufanya makosa au kumfanyia vitendo vichafu huyo mtoto basi amlee tu kama Binti yake.
Ushauri mzuri, utamfikia
 
Mkuu,ukiusoma uzi vizuri,mleta mada amesema kua Baba mzazi wa huyo mtoto alisha fariki miaka 5 iliyopita kwa ajali.
 
Duuuh, basi sawa
 
Ni kweli kabisa, wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia usaliti hata kama wao wenyewe tayari ni wasaliti.
 
Mkuu,mleta mada sio binti kiziwi ni Binti wa zamani naona umechanganya ila wote ni Mabinti,mmoja ni wa zamani na mwingine ni kiziwi.
 
Mwanaume ampende huyo mtoto ili aishi maisha marefu ya furaha, kumchukia huyo mtoto kwa sasa hakutamsaidia chochote, zaidi hiyo chuki itamharakisha nae kwenda kaburini aache watoto wao yatima.

Anatakiwa kufanya kila awezalo arudishe upendo wake kwa huyo mtoto, kwanza mtoto hana kosa lolote, yeye ni matokeo ya makubaliano haramu kati ya marehemu wawili.

Baba akishindwa kurudisha upendo kwa mtoto, mtoto akaanza observe hilo, basi anaenda kumuathiri na mtoto kisaikolojia.

Mtoto ataona baba ananichukia kosa langu silijui, ataanza kuwa na stress, mwishowe ataanza kufanya vibaya shuleni na kiafya atayumba, mwanaume anatakiwa kusimama vizuri sana aishinde changamoto yake ili aiokoe na familia yake.
 
Wewe kwanza umemshauri nini?
 
Yani uleee bao la mwanaume mwingine na unajua!!!


Huo ni ukichaa


Piga chini mtoto peleka Kwa baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…