thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
Ndugu zangu wanajf,
Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana.
Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa.
Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini athari za kiuchumi na kiafya najikuta nakuwa muoga.
Me ni kijana wa kiume, umri wa miaka 24, lakini nimeganda kwenye hili wazo ndugu zangu.
Naombeni msaada wa mawazo.
Natanguliza shukrani.