Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,508
- 15,276
Na namna ya kujisafisha baada ya kufanya ngono, nje ya kuoga kawaida, kuna namna ingine ya kuikimbiza hiyo mikosi na mabalaa 🤔Ina baraka kama haijanajisiwa! Ni rare sana kukuta mtu ana body counts 50+ kalala na watu wema tu, unakuta kalala na wachawi, waiba nyota, wagonjwa, wasio na bahati, sasa negative energy huwa inatawala sana! Ndiomaana sikuhizi watu wajanja akingonoka wanawahi kujicleanse! Watu sio wazuri mkuu!