Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Mzee point kabisa hii
Kabisa kijana, wanaoikimbia ngono wengi ni wapiga puli wakubwa, sasa wanachokimbia ni nini? Ni uchumi tu hakuna kingine.

Wengine wanaona kuliko kutumia gharama kubwa kwenye ngono( kuwa na mke au girlfriend) wananunua kulingana na uwezo wao, zipo kuanzia 2,000, hapo ni wewe na mfuko wako.

Ukifuatilia, wanaopinga ngono, hawajuchui na wana-abstain kabisa ni asilimia ndogo sana. Wengi wamekimbilia kujipiga mkono, to me that's even worse.

Ngono salama ni tiba sahihi ya ubongo.
 
Hivi vizingiti vya kidini vinasaidia watu kujitambua na kuwa na kiasi, ila haviwezi kuzuia asili ya binadamu.

Na ubinadamu unaanza kwanza halafu dini inafuata. Dini ni chombo cha kudhibiti watu na sio kuwabadilisha.

Ingekuwa dini zinaweza kuondoa nyege basi nafikiri hili tatizo la ngono lisingekuwepo.
Alas! Samahani mkuu, Nimetumia neno "Takatifu" sio nimemaanisha dini. Hapana. Ningeweza kusema ni Tendo lililotukuka na Linalohitaji Heshima ya ya kiwango cha juu.
Vizingiti vipo kote kote Kwenye Dini, Mila, Desturi (Kijamii)na Hata Mtu binafsi(Nafsini mwako) Ukifanya Ngono kinyume na Utaratibu uliopo, hakika utaisikia Roho/Nafsi yako ikikushtaki na utajikuta unajilaumu ww mwenyewe - ni Tofauti kabisa na ukifanya ngono na Mkeo kwani kwa Mkeo; nafsini mwako au rohoni utajisifu, unajisikia furaha na upendo kuongezeka.
Chagua kimojawapo roho inataka.
 
Watu wameoza mtaani
Nyinyi mnaoita watu wameoza huwa mkipata UKIMWI mnalandaruka na kuisha, mnaona kila mtu anawatazama na kuwanyooshea vidole. Kuna mwalimu wetu field alikuwa anawasema sana vibaya wenye ugonjwa akatokea mdada muathirika akajifanya anamuelewa akalala nae mara kadhaa.
Alihakikisha anampa popote laboratory, library, ghetto kwake yani kila kona. Jamaa alikonda kabla ya miezi ya kupimwa kuthibitisha haijaifika, na hawezi mfanya kitu utaanzaje kusema nilitembea na mwanafunzi.

Nimeishi na waathirika, nimejifunza kutowapa kashfa, wana kisasi hao. Usiishi hivi unavyoandika hapa mtaani, kanisani/misikitini au kazini.
 
Kabisa kijana, wanaoikimbia ngono wengi ni wapiga puli wakubwa, sasa wanachokimbia ni nini? Ni uchumi tu hakuna kingine.

Wengine wanaona kuliko kutumia gharama kubwa kwenye ngono( kuwa na mke au girlfriend) wananunua kulingana na uwezo wao, zipo kuanzia 2,000, hapo ni wewe na mfuko wako.

Ukifuatilia, wanaopinga ngono, hawajuchui na wana-abstain kabisa ni asilimia ndogo sana. Wengi wamekimbilia kujipiga mkono, to me that's even worse.

Ngono salama ni tiba sahihi ya ubongo.
Si unajua mzee wangu ngono siku hizi imekuwa business pale lindi wanawake wanakuja a nakwambia elf 10 bao moja, alaf ukiingia anazungusha uno makusudi ili umalize hela yako fasta 😂
 
Back
Top Bottom