Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Mikosi = UTI ,ukimwi , kisonono , kaswende, hepatitis, na kufilisika
Nakazia hoja: Kisaikolojia na hili huwa linatokea ni kwa wanaume wote.
Mara tu baada ya Tendo na muhemuko umeisha; akili zinarudi na maswali kedekede:
- Hivi nimepata faida gani hapo? Haiwezekani ndo nimeambukizwa naniliu kweli? - Si ni bora ile fedha yangu ningefanyia shughuli yenye faida kwangu?
- Huyu alikuwa ameshatembea na wengi sana na uwezekano wa maambukizi ni mkubwa. Ole wangu maskini mie.........
 
Ngono imerahisishwa sana na pesa , ndio maana ni hatari sana kuparamia hovyo hovyo, na vijana wanakamsemo kao kondom zinawawasha
 
Sheria mkononi itakuletea mafadhaiko, sio suluhu.

Kufanya ngono salama sio vibaya.

Ninahisi una tatizo la kutokujiamini na wasiwasi mwingi linalokusababisha usite.

Ukiwa mtu wa kuwaza waza sana kuna namna maisha yanakushinda. Binadamu wengi wakifikia huo umri wako wanafanya ngono. Wanatii mahitaji yao ya kibaiolojia. Hata washika dini, watafanya kisha watatubu. Hii haibadilishi kwamba wameshafanya!

Kuna mambo yapo tu tokea enzi na enzi hayabadiliki. Ni asili, hata dini haiwezi kuzuia.
Ngono(Kujamiiana) ni Tendo Takatifu na lina Utaratibu wake. Utaratibu ni kumpata mwenza wa kudumu na sio kuruka-ruka huku na kule kama mbuzi.
 
Umenifurahisha sana hapo kwenye kujichukulia sheria mkononi, hakika unafanya jambo jema mno.

Mapenzi ni jambo linalowaumiza vijana, kiuchumi na kiafya, fanya mapenzi ila kwa tahadhari na mara chache mno tena kwa mwanamke mmoja
 
Huwa najiulizaga ina maana ngono ndo inaletaga mikosi? Huwezi ukaifanya ukapata baraka?
Mfano labda mimi nna Baraka nyingi, nkakutana na dada mwenye mikosi mingi ,hapa kinachohamishika ni mikosi ya huyo dada tuu?
Ina baraka kama haijanajisiwa! Ni rare sana kukuta mtu ana body counts 50+ kalala na watu wema tu, unakuta kalala na wachawi, waiba nyota, wagonjwa, wasio na bahati, sasa negative energy huwa inatawala sana! Ndiomaana sikuhizi watu wajanja akingonoka wanawahi kujicleanse! Watu sio wazuri mkuu!
 
Ukishangonoka
Njia za kujitakasa ni zipi?
 
Hii soul ties ina work vipi kiongozi?
Nimeelezea hapo juu kutokana na maroho aliyobeba mtu, watu wana maroho wachafu yanawaandama! Unakuta mtu hawezi kufanikiwa, hawezi kuoa/kuolewa, pesa hazikai kwake, kila anachogusa ni mkosi tu! Sasa ukiingiliana na mtu huyu unaweza kujikuta umeingia kwenye maagano kama yake!
 
Sheria mkononi itakuletea mafadhaiko, sio suluhu.

Kufanya ngono salama sio vibaya.

Ninahisi una tatizo la kutokujiamini na wasiwasi mwingi linalokusababisha usite.

Ukiwa mtu wa kuwaza waza sana kuna namna maisha yanakushinda. Binadamu wengi wakifikia huo umri wako wanafanya ngono. Wanatii mahitaji yao ya kibaiolojia. Hata washika dini, watafanya kisha watatubu. Hii haibadilishi kwamba wameshafanya!

Kuna mambo yapo tu tokea enzi na enzi hayabadiliki. Ni asili, hata dini haiwezi kuzuia.
Sahihi kabisa, ngono kama ngono haina shida, sema vipengele vimekuwa vingi ndio maana inaonekana kuleta mikosi nk.

Ila ngono salama ni tiba ya ubongo. Provided ni salama kwa walengwa.
 
Ukishangonoka
Njia za kujitakasa ni zipi?
Kuna vitu vya asili kama chumvi ya mawe utajitoa mikosi! Ila njia nzuri ni kuiepuka sana ngono! Wanawake wengi sana wanaibiwa nyota! Unakuta mtu analala na mtu anapewa gari sijui biashara, kumbe mtu anatembelea humohumo, akitumia nyota yako akaingiza lets say 500mils, akanununuliq gari ya 20mls hakuna loss anayoipata! Unashangaa tu mtu anafurahia anahongwa sana kumbe mambo yako mengi hapo katikati! Sio lazima kila mtu apitie ila kinga ni bora kuliko Matibabu!
 
Back
Top Bottom