mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Ziko variable kutegemea umekutana na nani na ni mtu wa aina gani.Huwa najiulizaga ina maana ngono ndo inaletaga mikosi? Huwezi ukaifanya ukapata baraka?
Mfano labda mimi nna Baraka nyingi, nkakutana na dada mwenye mikosi mingi ,hapa kinachohamishika ni mikosi ya huyo dada tuu?
Ndio maana mimi nikipataga mwanamke huwa nahesabu hasara ninazopata na dili zinazoongezeka wakati nikiwa naye.
Yaani kwa mfano nimepata mwanamke halafu tangu nimpate inakatika wiki au wiki 2 simu haziiti namtema lakini ikiwa nimempata halafu simu zinaita sana na mihamala inaongezeka kwa spidi najua yuko vizuri kiroho.