Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Msongo wa akili: Akijaribu kumwaga nje ili kuepuka mimba, mara nyingi anakuwa makini sana na muda wa kujitoa. Hii huongeza mkazo wa akili na inaweza kumfanya ajisikie amechoka zaidi baada ya tendo.

Mvutano wa misuli: Kujizuia hadi sekunde za mwisho na kujitoa haraka kunaweza kuongeza mvutano wa misuli ya nyonga na tumbo, jambo linaloweza kuongeza hisia za uchovu.

Tofauti na mtu akiwa anamwaga ndani anakua amerelax
Hata anayepiga punyeto anakuwa ame relax.

Na anamwaga nje.
 
Acha kabisa kupiga punyeto ndugu kabla mambo hayaja kuharibikia inamadhara makubwa
Hakuna sehemu nimekwambia napiga punyeto.

Nimekwambia hivi,

Shahawa zinazomwagwa wakati wa sex na mwanamke ni shahawa zilezile zinazomwagwa wakati wa kujichua.

Kama kuna madhara kumwaga shahawa basi ngono na punyeto VYOTE vingekuwa na hayo madhara makubwa.

Kwa sababu vitendo vyote viwili vinasababisha shahawa kumwagwa nje ya mwili wa mwanaume.
 
Me ni kijana wa kiume, umri wa miaka 24, lakini nimeganda kwenye hili wazo ndugu zangu.
Naombeni msaada wa mawazo.
Achana na mchezo wa kupiga nyeto inakupunguzia hadhi inabidi akili ikukae sawa unapigaje nyeto kibwege halafu bado ni 24 tu uoga uoga unaogopa nini? Madogo punguzeni ujinga wewe umeshindwaje kuwatafuta mabinti hapo mtaa wa pili ukaanza kuwagonga ukishindwa huwezi kuzungushana na mtu basi nenda maeneo ukanunue acha kukaa kifala unajikabaje koo wewe kila siku kazi yako kujipiga kitanzi unajinyonga tu utaishi hivyo mpaka lini?
 
Kwanza mwili wa mwanaume yoyote una namna yake ya kutoa shahawa mwilini kupitia ndoto nyevu usiku.

Hata mtu asipofanya ngono au asipojichua. Atamwaga tu shahawa kupitia ndoto nyevu.
Waw! Hii imekaa kibaiologia zaidi. Lakini wapo wale ndugu wanasema Ndoto nyevu ni Ishara ya wazi kwamba una jini mahaba. Incubus au succubus -hapo ndo shida inakuwa.
 
Dogo ni fala ana matatizo ya akili sio bure basi aendelee kujinyonga tu ipo siku atapiga kitanze kwenye kichwa kikubwa ndio itakua mwisho wake, shenzitaipu
Inawezekana maana naona (Ke) wengine ck hizi ndo wanatafuta i.e. ndo watongozaji. Hapo ni mtu binafsi ajipime Yes or No. Hauhitaji effort kubwa kama zamani.
 
Back
Top Bottom