Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Umenifurahisha sana hapo kwenye kujichukulia sheria mkononi, hakika unafanya jambo jema mno.

Mapenzi ni jambo linalowaumiza vijana, kiuchumi na kiafya, fanya mapenzi ila kwa tahadhari na mara chache mno tena kwa mwanamke mmoja
Haya sasa pele limefika kwa mkunaji mwenyewe😂.
Nyani kapewa Adhabu ya kula Ndizi sidhani kama ataichukia adhabu zaidi ya kuifurahia.

Lakini sidhani kama ni vizuri kuupa airtime huo mchezo, mnakuwa mnapush huo mchezo kama masiala ila kuna watu wanaojihusisha na wanaotaman kuuacha huo mchezo mnakuwa mnawa motivate. kufanya zaidi na zaidi
 
Ukiweka mapenzi na nyeto, mapenzi yana hasara nyingi kuliko nyeto.
 
Huwa najiulizaga ina maana ngono ndo inaletaga mikosi? Huwezi ukaifanya ukapata baraka?
Mfano labda mimi nna Baraka nyingi, nkakutana na dada mwenye mikosi mingi ,hapa kinachohamishika ni mikosi ya huyo dada tuu?
DSC_0191~2.JPG

it's very rare kupata baraka baada ya kugonoka ni mara chache sana.
 
Ukiweka mapenzi na nyeto, mapenzi yana hasara nyingi kuliko nyeto.
Sidhani kama yatakuwa na hasara endapo kijana atachagua kukaa na binti mmoja, wakapima afya zao na kuhakikishiana usalama wa afya zao. sidhani kama kwa njia hio mapenzi yatakuwa na hasara

Ila ukishakuwa tu kifimbo cheza, then unaanza kujichimbia shimo ambalo kulitoka ni ngum
 
OK Tufanye ana binti mmoja.

Uliwahi kusikia kuna mtu amekufa kisa upigaji nyeto? Na je n mara ngapi umesikia mtu amekufa kisa mapenzi?
 
Mtu anasema ngono inaleta mikosi, ila kila siku lazima ajichue. Madhara ya kujichua kisaikolojia ni makubwa kuliko anayefanya ngono twice per week.

Abstinence inawezekana kwa wachache tu, wengi wanachokimbia ni kuumia kiuchumi kwa sababu hawana kipato cha kuhudumia ngono, na ndio sababu kubwa ya kuabstain.
Ngono inaleta mikosi spiritually vile vile Punyeto Kwenye Ulimwengu wa Roho Manii ya Mwanaume ni Uhai ule Tunza Uhai wako sio unamwaga tu ovyo ovyo ndio maana after ejaculation nafsi inafeel guilty and weak. Kingine Labda kama Maji ya kisima chako unakunywa peke yako lakini karne hii mpaka bata utawakuta wanakoga kisimani full Purkushan!
 
OK Tufanye ana binti mmoja.

Uliwahi kusikia kuna mtu amekufa kisa upigaji nyeto? Na je n mara ngapi umesikia mtu amekufa kisa mapenzi?
Yeaah vipo visa vinavyorepotiwa kufa kwa kupiga punyeto.
Na ukisema kisa kufa kwaajili ya mapenzi huko ni kulack Adversity quotient.

kwenye Adversity quotient maarufu kama adaptability ni pale ambapo wewe Mbaga Jr unarudi maskani kwako unamkuta mwanamke wako na mwanaume mwingine kitandani kwako. kitakachokusaidia wewe kubaki kwenye hali ya kawaida ni hio Adversity quotient.

Teach your heart to accept disappointments. there is no way unaweza kupata furaha maisha yako yote.
 
Nyinyi mnaoita watu wameoza huwa mkipata UKIMWI mnalandaruka na kuisha, mnaona kila mtu anawatazama na kuwanyooshea vidole. Kuna mwalimu wetu field alikuwa anawasema sana vibaya wenye ugonjwa akatokea mdada muathirika akajifanya anamuelewa akalala nae mara kadhaa.
Alihakikisha anampa popote laboratory, library, ghetto kwake yani kila kona. Jamaa alikonda kabla ya miezi ya kupimwa kuthibitisha haijaifika, na hawezi mfanya kitu utaanzaje kusema nilitembea na mwanafunzi.

Nimeishi na waathirika, nimejifunza kutowapa kashfa, wana kisasi hao. Usiishi hivi unavyoandika hapa mtaani, kanisani/misikitini au kazini.
Ni kweli kabisa. Kamwe usimnyanyapae mgonjwa wa leo kwani huijui kesho yako ww mwenyewe. Tukumbuke kwamba kuupata ugonjwa zipo njia nyingi.
 
Anyways mimi sio mwamposa nikufundishe Imani.

Lakini I'm sure wewe hufanyi huo mchezo 100%
Nikisema nataka ushahidi maana yake hata jamii inajua hilo jambo, Sasa mtu amekutwa ndani amekufa mnaanza kusema ni nyeto, kuna taarifa niliona mahali ety mtu amekufa kwa kupiga nyeto mara cjui 69 huko, afu hakuna aliyemuoa akipiga hizo bao, sasa unaweza kujiuliza hawa watu wamejuaje amepiga hizo bao kwa nyeto.

Huu sio ushahidi, n ngonjera.
 
Back
Top Bottom