thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
MeWewe ni jinsia gani?
Watu wameoza mtaaniWatu wana magonjwa sana, epuka kabisa ngono hadi utapokuwa tayari kuoa. Zinaa mbaya!
Hata Uwezo wa kufikiri na kufanya kazi unaongezekaNina mwaka na siku kadhaa without sex faida ni nyingi sana
safi sana, tunza kibunda mpaka tununue ndegeJe ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini athari za kiuchumi na kiafya najikuta nakuwa muoga
kweli kabisaHata Uwezo wa kufikiri na kufanya kazi unaongezeka
KasomeNdugu zangu wanajf,
Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana.
Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa.
Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini athari za kiuchumi na kiafya najikuta nakuwa muoga.
Me ni kijana wa kiume, umri wa miaka 24, lakini nimeganda kwenye hili wazo ndugu zangu.
Naombeni msaada wa mawazo.
Natanguliza shukrani.
Mkuu hebu.. elezea inavyo unlock kiroho!Ngono inaweza ku unlock matatizo ya kiuchumi, kihisia na hata ya kiroho! Kama si lazima iepuke kwa kila namna!
Mikosi = UTI ,ukimwi , kisonono , kaswende, hepatitis, na kufilisikaHuwa najiulizaga ina maana ngono ndo inaletaga mikosi? Huwezi ukaifanya ukapata baraka?
Mfano labda mimi nna Baraka nyingi, nkakutana na dada mwenye mikosi mingi ,hapa kinachohamishika ni mikosi ya huyo dada tuu?
We dogo; Huo woga wako ndo USHINDI wako. Ukijichanganya halafu Ukajitumbukiza kwenye ngono esp. ngono-uzembe hakika utaumia sana na hautakuwa na wa kumlaumu. Hao wanaokuhamasisha eti umri unaenda usiwasikilize kwani ndo hao-hao wata jizima data utakapokuwa unaumia.Ndugu zangu wanajf,