Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Solution ni za kisiasa na ki jiography sio kidini...Wala haihusiki na Mungu yupi yupo...I'm not educated on the matter ya Palestine na Israel so Sina hoja kuhusu Hilo..if u think God is the solution bac funga na kusali Mungu awalinde
 
Na bado atabisha
 

Mathayo 11:25-26​

Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwaficha mambo fulani watu fulani na kuwafungulia wengine ni contradiction.

Pia, Mungu huyo kuumba ulimwengu wa watu wenye hekima na akili, na wengine wasio hekima na akili, ni contradiction.

Kimantiki, katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo, kila mtu ana hekima na akili vizuri tu.

HIvyo, kuwapo kwa watu wajinga ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ana kila uwezo, kila ujuzi na kila upendo wa kuumba ulimwengu ambao hauna watu wajinga.

Hivyo, kwa nini aumbe ulimwengu ambao unaweza kuwa na watu wajinga?

Ama Mungu huyo yupo, na ulimwengu hauna wajinga, ama ulimwengu una wajinga na Mungu huyo hayupo.

Mawili haya hayawezi kuwa kweli kwa pamoja. The two are mutually exclusive.

Dhahiri tunaona ulimwengu una wajinga wengi kila siku.

Hivyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
 
Injili za uongo hizo ...hao wanaosema hivyo ndiyo wanao zusha kuwa mungu anazo nafsi 3
Afu ni mtu mmoja...afu they r best example ni maji kuwa solid liquid na gas... Ila dini hizi...mkosho sana
 
Mungu ni mfalme wa ulimwengu wa energy...hizo hesabu ni kazi yake na uzima wa kitu chochote watokana na yeye ...ukisema hakuna mungu je wewe ulikuwepo miaka 200 iliyopita ? Kama haukuwa umepataje kuwako ?
 
Pia kuleta maada ya kumjadili MUNGU usiemuona usiemjua na mwisho ukasema hayupo ni akili duni,,kupoteza mda na kuonyesha huyo mwenye kuleta maada ya kumjadili MUNGU asiemtaka namna alivyo debe tupu[Empty barrell]
 
1. Plasmodium si hata wewe ukitaka Leo unaona
2. Mi na demu wako tunaweza umba another u
3. Hamna mtu anahamasisha wanaume waoane
4. Umefanya false dichotomy kulimit options ziwe mbili either Mungu wako au shetani..ni illogical na it's just a way to dismiss someone wakati Kuna watu hawaamini shetani na wanaishi maisha mazuri bila dini
 
Yaani unatumia novel Kama evidence ya story na character wa kwenye novel...duu kwa kweli tuna safari ndefu.
 
Sio ya kiarabu tu...ya mudi
 
Mungu ni mfalme wa ulimwengu wa energy...hizo hesabu ni kazi yake na uzima wa kitu chochote watokana na yeye ...ukisema hakuna mungu je wewe ulikuwepo m8aka 200 iliyopita ? Kama haukuwa umepataje kuwako ?
Hujathibitisha Mungu yupo, unahubiri tu.

Mimi hata kama nisingezaliwa kabisa, achikia mbali miaka 200 iliyopita, kama Mungu hayupo, hayupo tu, niwepo, nisiwepo, miaka 209, 1000. Kwa hivyo hii habari ya miaka 200 iliyopita ni irrelevant rubbish.

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
 
Huyo Mungu kajiumbaje
 
Mkuu ngoja nikuitie huyu mtu hapa
DR Mambo AMP atuambie kuna historical evidence yoyote Kama Israel washawahi kuwa utumwani misri? Kwa uchache mkuu
Hamna historical evidence yoyote... egyptologists wamechimbua ma pyramids na masite yote hamna evidence yoyote ..Ile ni story tu ya kutungwa
 
wanasayansi hawana majibu. science is overrated
Mkuu unaelewa hapo unatumia science kuandika kuwa scuence is overrated?

Acha kutumia internet andika "science is overrated" kwenye mfumo usiotumia science.

Vinginevyo unakuwa wale watu wa "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Unasema "Science is overrated" wakati hapo hapo unaitumia kila siku.
 
Kama haukuwepo lakini umepata kuwako mbona imekuwa ajabu kwa mungu kuwako
 
[emoji16]Mungu katokea wapi...coz hatujawahi ona Mungu katokea from nowhere, so explain plz...katokeaje
Yeye ni alpha and omega yani ndo mwanzo na ndo mwisho hakuna chanzo chake yeye yupo tu ila mwanadamu nd chanzo chake aliumbwa. Sasa ukiangalia reflection ya maisha ya mwanadamu unajua kwamba it was never a random process. How can a random process create people with purpose? Halafu the reason tunasema mtuoneshe cell ilitokea wapi ni kwasababu mpaka leo hii cells zipo watu wanazistudy so ilitakiwa wawe washajua jinsi ya kutengeneza. Na nani alizistopisha cell zilizopo sahv zisiendelee kucreate viumbe wengine huko na huko.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…