Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

kipi kinathibitisha pasi na shaka kabisa kuwa Mungu yupo tangu awali? kipi?
 
kudos. Asiyeelewa basi kaamua hivyo!
 
kipi kinathibitisha pasi na shaka kabisa kuwa Mungu yupo tangu awali? kipi?
Niliandika hivi "Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa Mungu. Kumjua Mungu kunahitaji neema ya Mungu mwenyewe kwa mtu husika lakini pia wanaomsema Mungu hujaribu kutumia physical evidences za matokeo ya kuamini au kutoakuamini kwa binadamu na kukuacha wewe utumie akili ya kuzaliwa kuamini kama wanachosema ni kweli ikiwa umeshawishika moyoni mwako vya kutosha"

Kama hujashawishika moyoni mwako kuwa kuna Mungu hakuna namna tunaweza kumthibitisha kisayansi, mambo ya Mungu hutumia Imani. Hata wewe ukisema hakuna Mungu pia ni Imani huna namna ya kuthibitisha kuwa hakuna Mungu.

Wengine wakiangalia tu dunia na namna inavyokaa tayari kwao inatosha kuwashawishi kuwa kuna Mungu. Mfano, Kupitia sayansi imethibitika kuwa kama dunia ikisogea just 1% of its distance from the sun, closer to the sun, hakuna mwanadamu atakayeweza kuishi kutokana temperature itakavyokuwa na ikisogea just 1% of its distance from the sun, away from sun hakutakuwa na mwanadamu wa kuishi pia.

Hii maana yake kuna some super intelligent mind behind all this design. Na kuna lots of findings which end up revealing the fact that there is an intelligent being. Sasa kwa watu wa Imani husema that intelligent Being is God ni utashi wao na wewe ukiamua kusema huyo ni babu yako then thats fine.
 
suguye
 
Mimi ni Muislam, tuoneshe huo "mchanganyo" kwenye Qur'an, a,bacho ndicho muongozo kwa dini ya Kiislam, ukishindwa tuombe radhi.
 
"Dini" maana yake nini?
 
Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Ona sasa na wewe. Wapi tofauti na wale wanaopewa tujitu twa ngano nanmvinyo,wanadanganywa kuwa ni muili na damu vya mshikaji flani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…