Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yap, nimezungumzia dini na si imani za kirohoTofautisha dini na nguvu za kiroho ,dunia hii mtu mwenye pesa ndo mwenye akili ,sasa ukiweza kawaulize jinsi nguvu za kiroho zinavyofanyakazi usitafute millionaire tafuta bilionea muulize atakueleza
kipi kinathibitisha pasi na shaka kabisa kuwa Mungu yupo tangu awali? kipi?Hapana, mpaka pale sayansi itakapothibitisha kuwa Mungu wa miujiza hayupo ndo imani juu ya Mungu itakuwa imepingana na sayansi. Kumbuka wanaoamini katika Mungu hasa kwenye ukristo na uislamu mfano, huamini kuwa Mungu yupo toka milele anajua yote lakini sayansi haijui yote, kila baada ya muda fulani ndo wanasayansi wanakuwa wamepiga hatua fulani katika kufanya uvumbuzi. Sayansi inakua lakini Mungu hana cha kuongeza anajua yote from beginning.
Hii ni kweli kabisa. Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa Mungu. Kumjua Mungu kunahitaji neema ya Mungu mwenyewe kwa mtu husika lakini pia wanaomsema Mungu hujaribu kutumia physical evidences za matokeo ya kuamini au kutoakuamini kwa binadamu na kukuacha wewe utumie akili ya kuzaliwa kuamini kama wanachosema ni kweli ikiwa umeshawishika moyoni mwako vya kutosha.
Ndo maana wanasema mambo ya Mungu ni ya mambo ya Imani, lakini haikuzuii mtu kutumia akili au sayansi katika mambo yako. Vyote vinaweza kufanya kazi pamoja.
kuwa kwenye dini hakukufanyi kuwa mtu wa dini, wengine wamo kwa malengo mf ya tafiti tuWewe na Da Vinci, Sir I. Newton nani ana akili?, au wewe na Galileo Galilei nani Genious?.
Hao ni baadhi ya watu wenye akili kubwa waliowekeza nguvu kubwa kwenye Dini (Imani ya Mungu).
Jumong S
Nilishalieleza hili katika majibu yangukipi kinathibitisha pasi na shaka kabisa kuwa Mungu yupo tangu awali? kipi?
kudos. Asiyeelewa basi kaamua hivyo!NAKAZIA...
Religion is a mental slavery.
Religion is a fictional identity.
Religion is the practice of training the mind to ignore facts evidences and logic.
Religion is a programming system for collecting money from people who are unable to think.
Religion is a set of dogmatic rules manipulating weak minds.
Religion is a drug, Religious leaders are the dealers their followers are the addicts.
Religion is a Scam.
Niliandika hivi "Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa Mungu. Kumjua Mungu kunahitaji neema ya Mungu mwenyewe kwa mtu husika lakini pia wanaomsema Mungu hujaribu kutumia physical evidences za matokeo ya kuamini au kutoakuamini kwa binadamu na kukuacha wewe utumie akili ya kuzaliwa kuamini kama wanachosema ni kweli ikiwa umeshawishika moyoni mwako vya kutosha"kipi kinathibitisha pasi na shaka kabisa kuwa Mungu yupo tangu awali? kipi?
[emoji3]Ungeweka picha ingetusaidia sisi matomaso
[emoji23]. Sasa kwa watu wa Imani husema that intelligent Being is God ni utashi wao na wewe ukiamua kusema huyo ni babu yako then thats fine.
suguyeNaomba nijaribu kuweka sawa kidogo...
Muujiza ni nini?
Muujiza ni Sayansi ambayo ujuzi juu ya utendaji kazi wake bado haujajulikana au unafahamika Kwa mtu mmoja au watu wachache tu.
Mfano,..mtu akiunda bunduki kwa namna tusioifahamu tutasema ni muujiza Kwa kuwa hatujui formula na ujuzi aliotumia kuunda bunduki hiyo.
Kwa mantiki hiyo basi, ujinga(kukosa ujuzi juu ya jambo Fulani) ndiyo unafanya baadhi ya vitu tuvione ni muujiza lakini kiuhalisia muujiza ni sayansi tu kama zilivyo sayansi nyingine. Au naweza kusema MUUJIZA NI TAWI KATIKA MATAWI YA ELIMU kama tu ilivyo sayansi [emoji109]
Ujinga unaweza kusababisha kitu kionekane kama muujiza.
Kwa mfano, katika siku za zamani, watu wangeweza kuamini kuwa umeme ni muujiza. Hata hivyo, baada ya tafiti na kuelewa jinsi umeme unavyofanya kazi, hakuna mtu tena anayeamini kuwa ni muujiza.
There is nothing about life after death...once dead it is over!
Chanzo cha mbuzi ni niniHakumfanyi awe na akili napigilia msumari,,,,sayansi imeshindwa kutuambia chanzo cha binaadam afu porojo kibao
Mimi ni Muislam, tuoneshe huo "mchanganyo" kwenye Qur'an, a,bacho ndicho muongozo kwa dini ya Kiislam, ukishindwa tuombe radhi.Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaakini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
"Dini" maana yake nini?Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaakini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
Ona sasa na wewe. Wapi tofauti na wale wanaopewa tujitu twa ngano nanmvinyo,wanadanganywa kuwa ni muili na damu vya mshikaji flani?Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Uislam unakusaidia nini?Mimi ni Muislam, tuoneshe huo "mchanganyo" kwenye Qur'an, a,bacho ndicho muongozo kwa dini ya Kiislam, ukishindwa tuombe radhi.