Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

Palestina na Israel haziuani sababu ya dini , nyakati ngumu kwenye maisha zipo ili kuleta maana ya maisha , kuhisi ni yesu kakupigania sio vibaya , ila sitegemei ukakanyage wese kwa posa boy🤗
Imani ni kitu chenye nguvu kwa anaeamini kama yeye anaona wese linatatatua shida zake za kiroho poa tu sawa na mtu atambiae mizimu akaona anatatulika shida zake
 
Imani ni kitu chenye nguvu kwa anaeamini kama yeye anaona wese linatatatua shida zake za kiroho poa tu sawa na mtu atambiae mizimu akaona anatatulika shida zake
Imani ni kitu chenye nguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda kama siwajui walokole maisha yao yalivyo.
 
Tatizo sio Risasi, tatizo mtengenezaji wa silaha
 
Mitume na manabii mbona wako wengi sasa ivi. Kuna nabii mkuu Geo Davie, kuna nabii ?Malisa, Mwamposa ,Nabii Shilloh
 
Maisha Yao kivipi
Suala la kuamini jambo na likatokea sio lazima lihusishwe na dini ama Mungu , mimi siamin Mungu wala dini ila kuna mambo mengi naamini tu na yanatokea na wala kwangu sio kitu cha kushangaza .
 
Wanamaanisha mitume watakaofundisha kinyume na waliyoyasisi
 
Suala la kuamini jambo na likatokea sio lazima lihusishwe na dini ama Mungu , mimi siamin Mungu wala dini ila kuna mambo mengi naamini tu na yanatokea na wala kwangu sio kitu cha kushangaza .
Dini ni kile unachokiamnu, huwezi amini kama huna dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…