kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Naamini kabisa kama Duniani hakungekuwa na hizi Dini basi, Dunia ingekua ni uwanja wa maovu zaidi kuliko haya tunayo yashuhudia, Kuna watu wakifikiria neno kiama au jehanamu basi wanakuwa na uoga wakufanya maovu, binafsi nachukizwa na baadhi ya mambo yanayotokea kwasababu ya Dini ila naamini uwepo wa Dini, umesaidia kwakiasi kupunguza matatizo kwenye DuniaKati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Daa,maisha haya jamani😔Israel na Palestine pote Pana Wakristo, waislam na wayahudi.
Pale ni ishu ya utaifa kugombea ardhi.
Sawa na Somalia wote dini moja lakini wanauwana kugombea madaraka
Shetani ni nani?Watoto wa shetani mnaitazama Dini kwa mabaya
We unaemjua tupe sifa zakeShetani ni nani?
Unamjua huyo shetani?
Au unaongea propaganda ulizo lishwa na kupumbazwa na Dini yako?
Waafrika ndio waliotaka wenyewe kwenda utumwani hata Leo we uoni dream za vijana wa kiafrika ni kuzamia utumwani kwa kuacha fursa teleDini ilitumika wakati wa utumwa, one guy dared to say "slave trade was a necessary evil".
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Nguvu hiyo hiyo unayotumia kuamini illusion ya uwepo wa Mungu.Ukiamini kwa nguvu ipi
Uwepo wa dini umechangia vifo vingi kuliko kitu chochote duniani , sasa sijui unazungumzia nini apo.Naamini kabisa kama Duniani hakungekuwa na hizi Dini basi, Dunia ingekua ni uwanja wa maovu zaidi kuliko haya tunayo yashuhudia, Kuna watu wakifikiria neno kiama au jehanamu basi wanakuwa na uoga wakufanya maovu, binafsi nachukizwa na baadhi ya mambo yanayotokea kwasababu ya Dini ila naamini uwepo wa Dini, umesaidia kwakiasi kupunguza matatizo kwenye Dunia
Dini ndio imechangia mauaji, vita na maasi mengi duniani.Imagine dini isingekuwepo pia watu tungekuwa Ruthless kiasi gani
Fursa zipi unazozungumzia , umeme unakatika siku nzima , maji hakuna sisiemi kila sku wanawambia amieni Burundi, mkuu kwa hilo ebu fikir vizuri.Waafrika ndio waliotaka wenyewe kwenda utumwani hata Leo we uoni dream za vijana wa kiafrika ni kuzamia utumwani kwa kuacha fursa tele
Eti hiyo nayo ni dini?True we uoni mtu ana PhD anaenda ogeshwa njiapanda na mganga aliyeishia darasa la kwanza ili apate ubunge
Dini ndio imechangia mauaji makubwa sana duniani kuliko kitu chochote kile...Naamini kabisa kama Duniani hakungekuwa na hizi Dini basi, Dunia ingekua ni uwanja wa maovu zaidi kuliko haya tunayo yashuhudia, Kuna watu wakifikiria neno kiama au jehanamu basi wanakuwa na uoga wakufanya maovu, binafsi nachukizwa na baadhi ya mambo yanayotokea kwasababu ya Dini ila naamini uwepo wa Dini, umesaidia kwakiasi kupunguza matatizo kwenye Dunia
Imani na dini havitenganishwiEti hiyo nayo ni dini?
labda dini ya uislam, umeishawahi kusikia vikundi vya kikristo vikishambulia watu na kuwateka? Ukiona hivyo ujue wamechoshwa hivyo wanajihami. Fahamu kuwa kuna jamii ya wakristo dini hawazitaki wao wanachojali ni maisha matakatifu ya wokovu walioupata kwa mwokozi wao Yesu Kristo. Habari za dini hawazipendi kuzisikia wala kuzifia wanaona dini ni utopolo tu. Wenye dini ni waislam na wengine wa aina hiyo. Yesu mwenyewe alikuja duniani alizikuta dini zipo na hakuwa na mpango nazo kiasi cha watu wa dini kumsagia kunguni kwa herodeKati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Shetani na Mungu HAWAPO.We unaemjua tupe sifa zake
Una uhakika gani yesu alikuja kwel na sio story za kukopa tu kwenye story za kale za kigiriki?labda dini ya uislam, umeishawahi kusikia vikundi vya kikristo vikishambulia watu na kuwateka? Ukiona hivyo ujue wamechoshwa hivyo wanajihami. Fahamu kuwa kuna jamii ya wakristo dini hawazitaki wao wanachojali ni maisha matakatifu ya wokovu walioupata kwa mwokozi wao Yesu Kristo. Habari za dini hawazipendi kuzisikia wala kuzifia wanaona dini ni utopolo tu. Wenye dini ni waislam na wengine wa aina hiyo. Yesu mwenyewe alikuja duniani alizikuta dini zipo na hakuwa na mpango nazo kiasi cha watu wa dini kumsagia kunguni kwa herode
Hayo ni makundi ya wahuni hayana uhusiano na dini kama ,kama ni dini mbona matendo yao pingana na din.Dini ndio imechangia mauaji makubwa sana duniani kuliko kitu chochote kile...
Makundi ya waasi kama Boko Haram, Al Shabaab, Islamic state, Al-Qeida yote yanatumia Dini kama kichaka cha kufanya uhalifu wao.
Wachungaji uchwara wanaua maelfu ya waumini wao kwa ibada za kipumbavu. Mfano mauaji ya wakenya kule msituni shakahola, mauaji ya kibwetere Uganda n.k
Uovu haudhibitiwi kwa Dini, Bali kwa Sheria kali za kudhibiti uhalifu.
Mataifa mengi kama USA,Canada na nchi nyingi za Europe watu hawana Dini lakini nchi zao zina sheria kali kudhibiti matendo yeyote ya kihalifu.
Dini ni KICHAKA cha uhalifu....
ThibitishaShetani na Mungu HAWAPO.
Wote hawa ni Fiction characters Invented by religion.
Propaganda za kidini.
Tunamini tunachokijua mnaamini msichokijuaNguvu hiyo hiyo unayotumia kuamini illusion ya uwepo wa Mungu.