Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake.Thibitisha
Visit historical site JerusalemUna uhakika gani yesu alikuja kwel na sio story za kukopa tu kwenye story za kale za kigiriki?
Kama unakijua kithibitishe..Tunamini tunachokijua mnaamini msichokijua
Una elewa maana ya Jihad?Hayo ni makundi ya wahuni hayana uhusiano na dini kama ,kama ni dini mbona matendo yao pingana na din.
N makundi yanayofadhilia na kiranja wa dunia kuleta political instability
Nani kakwambia uthibitisho wa jambo umefungwa only kwenye five sense pekee.Kisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake.
Kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Angalau kitu kinaweza kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Mungu na Shetani Hawapo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika zaidi ni dhana za kufikirika tu na kusadikika, Imagination just an illusion.
Mungu na Shetani ni dhana za kufikirika, Imagination just an illusion...
Ndio maana Hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.
Kama una uwezo huo, thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Jihad Sio hio wanayopigania hawa wahuni wanapigania maslai ya dunia na Sio maslai ya diniUna elewa maana ya Jihad?
Utasemaje makundi haya hayana uhusiano na Dini?
subiri sasa reponses utaona kabisa thinking ya kutawaliwa na dini...Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Ndio mlipojifungia kwenye box,kwa kuamini sayansi imefika mwishoNani kakwambia uthibitisho wa jambo umefungwa only kwenye five sense pekee.
stori za kale za kigiriki? Si ndio maandiko yao tumefundishwa na kuamini huko? Imani huja baada ya kusikia, tulihubiriwa habari njema za injili tukaamini pasina shaka. Imani haitaki shakashaka, shaka huondoa matokeo halisiUna uhakika gani yesu alikuja kwel na sio story za kukopa tu kwenye story za kale za kigiriki?
kwa hiyo wasiokuwa na dini hawana kitu wanachokiamini? Hata upagani nao ni shenzi tu!Imani na dini havitenganishwi
Dini ni Imani,upagani Sio dinikwa hiyo wasiokuwa na dini hawana kitu wanachokiamini? Hata upagani nao ni shenzi tu!
Umehubiri mkuustori za kale za kigiriki? Si ndio maandiko yao tumefundishwa na kuamini huko? Imani huja baada ya kusikia, tulihubiriwa habari njema za injili tukaamini pasina shaka. Imani haitaki shakashaka, shaka huondoa matokeo halisi
Niache kwenda Ambono mapangoni nikaangalie historia za mababu zetu ni kadili na mizimu ya kipalestina na historia yao.Visit historical site Jerusalem
Mungu yupoje dhibitisha apo kwamba yupoje ?Tunamini tunachokijua mnaamini msichokijua
"Dini" maana yake nini?Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Muongozo wa maadili ya watu umeletwa na dini, kama pasingekuwa na dini, dunia isingekuwa sehemu salama ya kuishi. Kama kusingekuwa na imani za dini tungekuwa zaidi ya hayawani, kwani mwenye nguvu ndiye angeishi na mnyonge angetoweka. Mtu mwenye kuendeshwa na matamanio ya nafsi yake huwa anaweza kufanya chochote ambacho kinaweza kuwadhuru wenziwe.Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
jibu la hovyo ni mpango wa mwanadamu kumtafuta mungu"Dini" maana yake nini?
katika mtandao wa tiktok tayari kuna mavuguvugu kadhaa ya watu weusi kuhoji kuhusu dini.Tukiikataa hii mambo hawa ngozi nyeupe wataanza kutuheshimu mdogo mdogo.
Huwa haturudii rudii kuwaelewesha msiotaka kuelewaMungu yupoje dhibitisha apo kwamba yupoje ?