Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Nimesoma kanisani mambo ambayo wakristo wanafundishwa kwanza kuwaita waislamu majini na pili kuwaita magaidi.

Naongea hapa ukweli mimi binafsi nimekumbana na chuki za wazi na sehemu ya kufanya kazi wala sikutegmea kama kuna udini...Ilikuwa hivi pale kazini nawahi sana na jamaa mmoja wote tulikuwa watu wa ibada ,siku moja katika kikao cha mwaka cha wafanyakazi walipoangalia maudhurio ya kuwahi kupitia biometric walikuta wengi wanachelewa basi ni mmi na jamaa mmoja ndio tulikuwa na maudhurio mazuri ila kuna siku naweza kuchelewa kama dk hata 20.

Jamaa mmoja mgalatia akasema "Hao ni Waislamu kwani hujui wanaamka asubuhi mapema kwenda kuabudu Mungu " na kuna maneno walitamka ya chuki...
Mpaka nilipanic binafsi palikuwa na mgogoro mpaka kwa HR tulifka.


Hao jamaa wanaogop waislamu na chuki zao wanapandikizwa tangu watoto ,sisi waislamu hatuna chuki ila tunaongea ukweli ukifanya jambo tunakuambia hii ni dhambi basi wao wanasema eti tuna hukumu watu ...Sisi tunafikisha ujumbe kama ulivyo .


Siwezi kueleza mengi maana kuna code nitafichua ila nimekumbumana na mambo ya hovyo hao jamaa wana chuki hata wawe kumi wewe ukiwa pekeako wanaanza kukudiss .
 

Na Uislamu hauna chuki na Ukristo ("ukafiri")? 😳😳😳😳😳😳🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
Hakuna chuki ila tunajaribu kuwaelimisha ndugu zetu hawa waachane na imani ya kijinga ili tudumu katika amani
Mabikra 72
Uislamu ni Dini ya Amani, ila hii amani ni baina ya Muislamu na Muislamu.
Umeishawahi ona Mkiristo anachuki kama hii!!!???

View: https://x.com/DaveAtherton20/status/1713623817413681350?s=20
 
Sio chuki ila ni hofu. Ogopa watu wenye misimamo mikali ya kidini na waliokuwa brainwashed!
 
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Baadhi ya sababu ni kama hizi hapa, ambazo kimsingi ni uonevu wa waislamu dhidi ya Wakristo..

1). Maandamano ya waislamu kupinga ujenzi wa Kanisa Zanzibar. (Ila Bara wao hujenga misikiti kokote watakapo)..

View: https://youtu.be/pcwvILodCKM?si=ivTANuwDGcY3JtWj
2). Waislamu wa al shabaab walivamia Garissa University, Kenya wakaua wanafunzi wakristo 148..

3). Al shabaab waliteka basi Kenya wakapitisha msako kwa abiria na kuua wakristo 28.

4). nk.. soma hapo chini..
👇
Major al-Shabab attacks targeting Kenya | Al-Shabab News | Al Jazeera

5). Uchomaji wa Makanisa uliokithiri Tanzania hasa awamu ya 4.

6). Unakumbuka wale watoto wa kike wa Kikristo zaidi ya 200 waliotekwa na BOKO HARAM wakatokomea nao msituni?
Baadhi yao bado wanashikiliwa huu mwaka wa tisa !!!

7). Mauaji ya kimbari (genocide) yanayotekelezwa na waislamu wa Janjaweed dhidi ya wenyeji kule Darfur, Sudan.

8). Mauaji yanayofanywa na waislamu wa IS dhidi ya wenyeji Msumbiji.

Hivyo, waanzilishi wa chuki na uhasama mara nyingi ni waislamu
 
Unazani kwanin daudi alimtungua na jiwe goliat ? Ww ungevumilia
 
Niambie hapa nani anamchukiabmwenzie?

View: https://x.com/AzzatAlsaalem/status/1721300936520306749?s=20
 
Mnaenda huko kote mbali,tuje hapa bongo,taasisi Fulani ikiwa na viongozi wa juuu kumi waislamu wakiwa Saba wakristo wanasema inaendeshwa kiislamu,ila ikiwa na viongozi wakikristo wa juu Saba waislamu watu wakristo wanasema zimeangaliwa sofa za kazi.
2.DAU aliekua nssf alikua anapingwa humu na kusema mdini kisa muislamu,thread Iko humu,wakasahau kwamba aliteuliwa na MKAPA .Tena thread inayomponda Ina wachangiaji zaidi ya 500 IPO humu.
3.nimengi sana mengine hatuwezi andika humu
 
Nikuulize, ni rahisi wapi kwenda kuishi? Muislam kwenda Taifa la Kikristo au Mkristo kwenda Taifa la Kiislam? Ni rahisi wapi, kuanzisha Kanisa kwenye taifa la Kiislam au kuanzisha msikiti kwenye Taifa la Kikristo?
 
Polee sana mzee.

Huyo nahic ni tabia zake tuu za ubaguzi ila sio tabia ya wakristo, na sio ukristo huo.

Msamehe tuu maana amekosea kukufanyia hivo.
 
Hii ndo chuki yenyewe inayo semwa?

Kwanza tuambie ni nchi gani yenye waisilam wengi uliyo wahi kuishi ili kudhitisha uliyo yasema?

Kuhusu Bhakresa unaweza kunitajia angalau waisilam 5 walio ajiliwa pale IPP inayo milikiwa na wakristo wenzio ambao ni familia ya mengi?
 
Kwa hiyo hawa wakristo wanao shinda humu jf wanaporomosha matusi na kashifa dhidi waislam wao wanasoma biblia tofauti?
 
Hivi inamaama kule Zanzibar hakuna kabisa wakiristo waliosoma? Basi muonage aibu kidogo na wao muwape nafasi za juu serikalini
 
2:120 Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao......
 
🔹Shule za Umma za Kikristu Kamwe hawalazimishi Waislam kuvaa kama wakristu lakini shule za Umma za kiislam wanaealazimisha watoto wa Kikristu kuvaa kama Waislam

🔹 Wakati wa mfungo wa Ramadha wakristu kwa upendo huwaheshimu Waislam na hata wanaweza kuvaa kanzu ili kuwaenzi lakini kwa waislamu hilo halipo

🔹 Wakristu na mafundisho Yao huamini binaadamu wote ni ndugu lakini mafundisho ya kiislam yanatambua ndugu wa muislam ni muislam tuu

🔹Mkristu akikutana na muislam ama atamsalumia kwa SALAMU ya kijamii, au atamheshimu kwa kumsalimia kwa Salamu ambayo Waislam huitumia lakini muislam Kamwe hilo jambo hawezi kulifanya yeye atalazimisha kukudalimia kama anamsalimia na muislam mwenzake

🔹Wakristu ni wavumilivu na Wana upendo wa kula nyama inayochinjwa kwa Dua za kiarabu lakini naamini jambo kama hilo haliwrzekani kwa muislam
 
Kwa hiyo hawa wakristo wanao shinda humu jf wanaporomosha matusi na kashifa dhidi waislam wao wanasoma biblia tofauti?
Kama askari wanakamata raia na kuwapa kesi za ujambazi na wakati mwingine huwaua, ikitokea uchunguzi ukafanyika na kugundulika askari wale walifanya uharifu ule, basi askari wengine hukamata askari wale kwa hatua zaidi.
Wote ni askari, wote mtaala wao wa mafunzo ni mmoja na wote kwa nyakati tofauti na kwa malengo tofauti wametumia nafasi na rasilimali za uaskari kufanya waliyoyafanya.
 
Reactions: ITR
Kupinga ugaidi nayo ni chuki dhidi ya uislam?
 
Mfano mzuri JamiiForum moja ya mitandao yenye watu wenye chuki na uislamu kuwahi kutokea. Pia na hiyo inadhihirisha wazi kilichoandikwa kwe quran kwamba chuki yao ni kubwa kuliko mnavyodhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…