Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Nimesoma kanisani mambo ambayo wakristo wanafundishwa kwanza kuwaita waislamu majini na pili kuwaita magaidi.

Naongea hapa ukweli mimi binafsi nimekumbana na chuki za wazi na sehemu ya kufanya kazi wala sikutegmea kama kuna udini...Ilikuwa hivi pale kazini nawahi sana na jamaa mmoja wote tulikuwa watu wa ibada ,siku moja katika kikao cha mwaka cha wafanyakazi walipoangalia maudhurio ya kuwahi kupitia biometric walikuta wengi wanachelewa basi ni mmi na jamaa mmoja ndio tulikuwa na maudhurio mazuri ila kuna siku naweza kuchelewa kama dk hata 20.

Jamaa mmoja mgalatia akasema "Hao ni Waislamu kwani hujui wanaamka asubuhi mapema kwenda kuabudu Mungu " na kuna maneno walitamka ya chuki...
Mpaka nilipanic binafsi palikuwa na mgogoro mpaka kwa HR tulifka.

Hao jamaa wanaogop waislamu na chuki zao wanapandikizwa tangu watoto ,sisi waislamu hatuna chuki ila tunaongea ukweli ukifanya jambo tunakuambia hii ni dhambi basi wao wanasema eti tuna hukumu watu ...Sisi tunafikisha ujumbe kama ulivyo .

Siwezi kueleza mengi maana kuna code nitafichua ila nimekumbumana na mambo ya hovyo hao jamaa wana chuki hata wawe kumi wewe ukiwa pekeako wanaanza kukudiss .
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?

Na Uislamu hauna chuki na Ukristo ("ukafiri")? 😳😳😳😳😳😳🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
Hakuna chuki ila tunajaribu kuwaelimisha ndugu zetu hawa waachane na imani ya kijinga ili tudumu katika amani
Mabikra 72
Uislamu ni Dini ya Amani, ila hii amani ni baina ya Muislamu na Muislamu.
Umeishawahi ona Mkiristo anachuki kama hii!!!???

View: https://x.com/DaveAtherton20/status/1713623817413681350?s=20
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Sio chuki ila ni hofu. Ogopa watu wenye misimamo mikali ya kidini na waliokuwa brainwashed!
 
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Baadhi ya sababu ni kama hizi hapa, ambazo kimsingi ni uonevu wa waislamu dhidi ya Wakristo..

1). Maandamano ya waislamu kupinga ujenzi wa Kanisa Zanzibar. (Ila Bara wao hujenga misikiti kokote watakapo)..

View: https://youtu.be/pcwvILodCKM?si=ivTANuwDGcY3JtWj

2). Waislamu wa al shabaab walivamia Garissa University, Kenya wakaua wanafunzi wakristo 148..

3). Al shabaab waliteka basi Kenya wakapitisha msako kwa abiria na kuua wakristo 28.

4). nk.. soma hapo chini..
👇
Major al-Shabab attacks targeting Kenya | Al-Shabab News | Al Jazeera

5). Uchomaji wa Makanisa uliokithiri Tanzania hasa awamu ya 4.

6). Unakumbuka wale watoto wa kike wa Kikristo zaidi ya 200 waliotekwa na BOKO HARAM wakatokomea nao msituni?
Baadhi yao bado wanashikiliwa huu mwaka wa tisa !!!

7). Mauaji ya kimbari (genocide) yanayotekelezwa na waislamu wa Janjaweed dhidi ya wenyeji kule Darfur, Sudan.

8). Mauaji yanayofanywa na waislamu wa IS dhidi ya wenyeji Msumbiji.

Hivyo, waanzilishi wa chuki na uhasama mara nyingi ni waislamu
 
Unazani kwanin daudi alimtungua na jiwe goliat ? Ww ungevumilia
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Niambie hapa nani anamchukiabmwenzie?

View: https://x.com/AzzatAlsaalem/status/1721300936520306749?s=20
 
Mnaenda huko kote mbali,tuje hapa bongo,taasisi Fulani ikiwa na viongozi wa juuu kumi waislamu wakiwa Saba wakristo wanasema inaendeshwa kiislamu,ila ikiwa na viongozi wakikristo wa juu Saba waislamu watu wakristo wanasema zimeangaliwa sofa za kazi.
2.DAU aliekua nssf alikua anapingwa humu na kusema mdini kisa muislamu,thread Iko humu,wakasahau kwamba aliteuliwa na MKAPA .Tena thread inayomponda Ina wachangiaji zaidi ya 500 IPO humu.
3.nimengi sana mengine hatuwezi andika humu
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Nikuulize, ni rahisi wapi kwenda kuishi? Muislam kwenda Taifa la Kikristo au Mkristo kwenda Taifa la Kiislam? Ni rahisi wapi, kuanzisha Kanisa kwenye taifa la Kiislam au kuanzisha msikiti kwenye Taifa la Kikristo?
 
Nimesoma kanisani mambo ambayo wakristo wanafundishwa kwanza kuwaita waislamu majini na pili kuwaita magaidi.

Naongea hapa ukweli mimi binafsi nimekumbana na chuki za wazi na sehemu ya kufanya kazi wala sikutegmea kama kuna udini...Ilikuwa hivi pale kazini nawahi sana na jamaa mmoja wote tulikuwa watu wa ibada ,siku moja katika kikao cha mwaka cha wafanyakazi walipoangalia maudhurio ya kuwahi kupitia biometric walikuta wengi wanachelewa basi ni mmi na jamaa mmoja ndio tulikuwa na maudhurio mazuri ila kuna siku naweza kuchelewa kama dk hata 20.

Jamaa mmoja mgalatia akasema "Hao ni Waislamu kwani hujui wanaamka asubuhi mapema kwenda kuabudu Mungu " na kuna maneno walitamka ya chuki...
Mpaka nilipanic binafsi palikuwa na mgogoro mpaka kwa HR tulifka.

Hao jamaa wanaogop waislamu na chuki zao wanapandikizwa tangu watoto ,sisi waislamu hatuna chuki ila tunaongea ukweli ukifanya jambo tunakuambia hii ni dhambi basi wao wanasema eti tuna hukumu watu ...Sisi tunafikisha ujumbe kama ulivyo .

Siwezi kueleza mengi maana kuna code nitafichua ila nimekumbumana na mambo ya hovyo hao jamaa wana chuki hata wawe kumi wewe ukiwa pekeako wanaanza kukudiss .
Polee sana mzee.

Huyo nahic ni tabia zake tuu za ubaguzi ila sio tabia ya wakristo, na sio ukristo huo.

Msamehe tuu maana amekosea kukufanyia hivo.
 
Unaweza kuishi kwenye inchi ya wakristo wengi na ukapata amani bila tatizo lolote lakini sio ukaishi kwenye inchi ya waislam wengi ..........mh......balaaa...chooni tu. utaitwa kafiri unakojoa kama ng'ombe wenyewe wakienda kukojoa wanachuchumaa kama mademu eti najisi mkojo ukimgusa wakati umetoka kwenye Govi lako...............jiheshimuni na mbadili mentality yenu.......ndio maana bin salman anajenga kumbi za madisco tu na hakuna tena hijab maana hamueleweki mnataka nini........uniite kafiri harafu unasema saidia baba sijala mimi............utasubili sana................mfano tu kwa bahkhresa ukiwa mkristo upati kazi........lakini waislam wenzake fresh hata kama hawana shule........ukiweka mzani wa waislam na wakristo kwa bahkresa tu kipimo tosha ninyi mnashida kwenye oblangata yenu
Hii ndo chuki yenyewe inayo semwa?

Kwanza tuambie ni nchi gani yenye waisilam wengi uliyo wahi kuishi ili kudhitisha uliyo yasema?

Kuhusu Bhakresa unaweza kunitajia angalau waisilam 5 walio ajiliwa pale IPP inayo milikiwa na wakristo wenzio ambao ni familia ya mengi?
 
Wakristo huwa hawana time na itikadi ya mtu. Wao jukumu lao ni kupenda, kuheshimu, kuishi na kuwajibika. Hayo mengine naona unawasingizia tu.

Kanuni ya Ukristo ni kuilinda , kuiishi na kuisimamia imani yako bila kujikweza wala kubagaza za wengine. Wao hata ukimtukania Mungu wao either watakujibu kwa hekima na upendo au watamuachia Mungu mwenyewe ajidhihirishe kwako na hata asipojidhihirisha wao wala hawatabeba ugomvi kwa kuwa na ugomvi na wewe, kwani hilo ni kati yako na Mungu wao kwani wanaamini ndiye aliyeweka uhai ndani yako, hivyo wa hawa na sababu ya kukuchukia au kugomvika na mtu uliyepewa na Mungu kibali cha kuishi.
Kwa hiyo hawa wakristo wanao shinda humu jf wanaporomosha matusi na kashifa dhidi waislam wao wanasoma biblia tofauti?
 
Mnaenda huko kote mbali,tuje hapa bongo,taasisi Fulani ikiwa na viongozi wa juuu kumi waislamu wakiwa Saba wakristo wanasema inaendeshwa kiislamu,ila ikiwa na viongozi wakikristo wa juu Saba waislamu watu wakristo wanasema zimeangaliwa sofa za kazi.
2.DAU aliekua nssf alikua anapingwa humu na kusema mdini kisa muislamu,thread Iko humu,wakasahau kwamba aliteuliwa na MKAPA .Tena thread inayomponda Ina wachangiaji zaidi ya 500 IPO humu.
3.nimengi sana mengine hatuwezi andika humu
Hivi inamaama kule Zanzibar hakuna kabisa wakiristo waliosoma? Basi muonage aibu kidogo na wao muwape nafasi za juu serikalini
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
🔹Shule za Umma za Kikristu Kamwe hawalazimishi Waislam kuvaa kama wakristu lakini shule za Umma za kiislam wanaealazimisha watoto wa Kikristu kuvaa kama Waislam

🔹 Wakati wa mfungo wa Ramadha wakristu kwa upendo huwaheshimu Waislam na hata wanaweza kuvaa kanzu ili kuwaenzi lakini kwa waislamu hilo halipo

🔹 Wakristu na mafundisho Yao huamini binaadamu wote ni ndugu lakini mafundisho ya kiislam yanatambua ndugu wa muislam ni muislam tuu

🔹Mkristu akikutana na muislam ama atamsalumia kwa SALAMU ya kijamii, au atamheshimu kwa kumsalimia kwa Salamu ambayo Waislam huitumia lakini muislam Kamwe hilo jambo hawezi kulifanya yeye atalazimisha kukudalimia kama anamsalimia na muislam mwenzake

🔹Wakristu ni wavumilivu na Wana upendo wa kula nyama inayochinjwa kwa Dua za kiarabu lakini naamini jambo kama hilo haliwrzekani kwa muislam
 
Kwa hiyo hawa wakristo wanao shinda humu jf wanaporomosha matusi na kashifa dhidi waislam wao wanasoma biblia tofauti?
Kama askari wanakamata raia na kuwapa kesi za ujambazi na wakati mwingine huwaua, ikitokea uchunguzi ukafanyika na kugundulika askari wale walifanya uharifu ule, basi askari wengine hukamata askari wale kwa hatua zaidi.
Wote ni askari, wote mtaala wao wa mafunzo ni mmoja na wote kwa nyakati tofauti na kwa malengo tofauti wametumia nafasi na rasilimali za uaskari kufanya waliyoyafanya.
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Sasa mkuu una marafiki waislam alafu mpaka sasa umeshindwa kuwauliza wakakuelimisha juu ya neno kafri?

Mkuu neno kafri sio neno baya bali ni neno la kiarabu lenye maana ya mpingaji , yaani mtu asiye amini katika uislam, mfano kama chadema anavyo itwa mpinzani kwa sababu ya sera zake kutoendana na zile za CCM.

Kuhusu chuki, mkuu chuki ya baadhi ya wakristo dhidi ya waisilam ni kubwa sana tena wamekuwa wakionesha wazi kabisa kwa kuanzisha nyuzi nyingi za kuukashifu uislam.

Ww nenda tu hata kwenye mada yeyote inayo husu vita ya Israel na Hamas ndo utajua ni aina gani ya chuki walio nayo watu juu ya waisilam,na mbaya zaidi hao unao wakuta kutwa kushinda jf wanakashifu waisilam unakuta wana ndugu kibao ambao ni waisilam ambao wengine wana mchango mkubwa katika maisha yao.
Na mabingwa wa chuki na matusi dhidi ya waisilam humu wengi wao ni wafuasi wa makanisa ya kirokole yanayo funguliwa kiholela kila siku , wakatoriki ni watu wanao jielewa sio rahisi kumkuta anakashifu dini ya mtu mwingine japo wapo wachache wenye tabia hizo.
Kupinga ugaidi nayo ni chuki dhidi ya uislam?
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Mfano mzuri JamiiForum moja ya mitandao yenye watu wenye chuki na uislamu kuwahi kutokea. Pia na hiyo inadhihirisha wazi kilichoandikwa kwe quran kwamba chuki yao ni kubwa kuliko mnavyodhani.
 
Back
Top Bottom