Hakuna chuki ila tunajaribu kuwaelimisha ndugu zetu hawa waachane na imani ya kijinga ili tudumu katika amani
Mabikra 72
Wakristo huwajui wewe.Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
UKristo haumchukii mtu bali unachukia uovu. Hivyo wakristo hawawachukii waislamu bali yale matendo maovu ambayo yako embedded.Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Wakristo kama wote ni wabaguzi sema ni waoga kanisani wanafundishwa kuchukia waislamu .Polee sana mzee.
Huyo nahic ni tabia zake tuu za ubaguzi ila sio tabia ya wakristo, na sio ukristo huo.
Msamehe tuu maana amekosea kukufanyia hivo.
Toka nmekuwa muumini wa ukristo KKKT sijawahi kusikia Islam ukizungumziwa kwenye ibadaWakristo kama wote ni wabaguzi sema ni waoga kanisani wanafundishwa kuchukia waislamu .
Wa kwanza ni ww.Wakristo wapi hao?!
Kivip sasa?! Au kwa sababu napinga ugaidi 😃😃Wa kwanza ni ww.
Kumbe ww ni mkenya ? Basi ww siwezi kukushangaa maana chuki ni moja wapo ya maisha yenu.Waulize wananchi wa garissa watakupa majibu sahihi
Sasa mtu una mabikra 72, pepo yako kuna vijito vya pombe ukienda kutalii kwenye mji mmoja hivi mashariki ya kati unasamehewa dhambi zako zote, na ukiua mtu asiye amini unachoamini, peponi moja kwa zoteMara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Kwaiyo wale watu waliouawa Westgate na garissa walikuwa wanafundishwa upendo?Kumbe ww ni mkenya ? Basi ww siwezi kukushangaa maana chuki ni moja wapo ya maisha yenu.
Ukristo unapiga ushoga. Ni dhambi na machukizo kwa Mungu baba muumba mbingu na dunia…Sisi mbona hatujawahi kuwachukia kwa kufungisha ndoa za kufukuana mitaro?
hao mabikra 72 hawazeeki?Wewe imani yako ikiitwa ya kijinga kama unavyofanya utaona kuelimishwa au chuki ?
Hakuna sehemu hata sisi tunazumzia mtu kweny ibada ila kwa vitendo mnafundishwa mambo mengi kuwapa image mbaya wakristo.Toka nmekuwa muumini wa ukristo KKKT sijawahi kusikia Islam ukizungumziwa kwenye ibada
Huwa unasikiliza mihadhara ya mashekhe wenu wanavyotumia muda mrefu kuunanga ukristo baada ya kufundisha Islam?Hakuna sehemu hata sisi tunazumzia mtu kweny ibada ila kwa vitendo mnafundishwa mambo mengi kuwapa image mbaya wakristo.
Zile ni siasa sio mafundisho ya dini ,kweny dini pametajwa mayahudi na manaswar ,nyie wakristo mnafall kweny kundi la manaswar kwa vil mmemfanya mtume Issah kuwa Mungu.Huwa unasikiliza mihadhara ya mashekhe wenu wanavyotumia muda mrefu kuunanga ukristo baada ya kufundisha Islam?
Neno rafiki lina misamiati zaidi ya 10 kwenye kiarabu. Hapo limetumika Awliya ambalo ni yule anayekuongoza kwenye mambo fulani. Kuna urafiki wa kufanya maovu. Kuna urafiki wa ujirani.Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.