Mwalimu Nyerere alisema maadui wetu kimaendeleo ni Ujinga,,,Maradhi na Umaskini.Wakati huo aliposema dini haikuwepo.?Tuseme katika Tz ukaondoa hayo Mambo matatu ile bajeti iliokuwa ikitumika itaelekezwa wapi zaidi ya kwenye teknolojia na kumweka mwafrika mahali pa kuionyesha dunia jinsi alivyo na akili kubwa.!!
Mwafrika haonekani kutokana na daraja alilopo.Ila niamini Mimi ninapokuambia hapa Afrika Kuna watu wenye akili kubwa Sana japokuwa Wana dini,, either wakristo au waislamu.......
Labda nikuulize
1.Kwa Nini kampuni za kigeni zilizopo hapa Tanzania zikifanya miradi mikubwa zinafadhiliwa kiruzuku na nchi zilizotokea??
2.Kwa Nini project zote za utafiti ktk nchi zilizoendelea zinadhaminiwa na serikali zao??
3.Kwa Nini kutokana na Corona nchi zilizoendelea (za ulimwengu wa Kwanza) zimetoa ruzuku kwa makampuni na viwanda ili viendelee na uzalishaji?? Ina maana hivina mitaji?? Havikopesheki? Kwa Nini serikali ya kibepari isaidie sekta binafsi badala ya kukusanya Kodi?
Je umewahi kujiuliza kwa Nini baadhi yetu sisi watz tuna imani Sana na kàzi iliofanywa na foreigners na kudharau iliofanywa na mweusi mwenzetu ??
Je umewahi kujiuliza kwa Nini foreigners na kampuni zao wakija asilimia 90 ya expert ni sisi waafrika wenyewe???
Je umewahi kuona foreigners wanakimbia hapa Tanzania kutokana na madeni wakaacha vifaa vyao vyote (ambavyo sisi hatunavyo) na weusi wenzio wakavitumia wakaanzisha campuni yao wakaomba miradi Kama waliokuwa nayo foreigners na wakapata ikafanywa ktk accuracy ile ile waliofanya hao foreigners???
Tafakari kwa kina ni Nini kilichomfanya mwafrika asiendelee,,,,,,,,,,,,,
Umeenda nje ya mada probably sababu hujanielewa.