Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
- Thread starter
- #161
Exactly.Sawa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly.Sawa..
Tafadhali naomba urekebishe mada yako, ukristo sio dini. Kwaza kabisa kristo ni Mungu mtu. Ukristo ni Imani ya kuamini katika kristo. Dini ni mfumo, taratibu, sheria na kanuni anuai zinazoendesha imani ya kikristo
Mkuu mbona unanisikitisha sana?
Signature yako ndiyo inayoonesha wewe ndiye mwenye matatizo ya emotionally and mentally hata mada zako nyingi zinaonesha hivyo na michango yako mingi inaonyesha ni mtu anayetafuta huruma ya watu wengine na unajiona usiye na hatia.
Wewe mwenyewe umeshajiita worthless useless and stupid person sasa mimi nishajua kwanini umeniita emotionally and mentally troubled sababu hayo matatizo ni yako na unadhani kila mtu anayo.
Hivyo mimi sio kama wewe mkuu ugua pole.
Nimekuuliza dini inakatazaje watu au inazuiaje watu kufikiria kutengeneza magari ya kisasa ama kuvumbua vifaa mbalimbali vya technolojia vya kisasa ?
Mwafrika kadumazwa kivipi ?

Juhudi za dhati kama zipi ambazo anamuachia Allah ?Mwafrika kadumazwa na kumuachia Mungu au Allah mambo yake,hafanyi juhudi za dhati kuleta mabadiliko makubwa katika maisha yake,tunatia huruma sana.
Blah blah hizi,ujinga na umasikini wenu unautupia kwenye dini. Kuna watu wanaamini ushirikina kama waafrika? afrika kuna watu badala ya kwenda hospitali wanaenda kwa waganga na kuzidisha maradhi yao na hadi kufa halafu ujinga kama huo wa waafrika unaenda kutupia lawama dini? Waarabu wameshika dini kweli kweli kuliko sie hata hatuwafikii ila bado wanatuzidi uwezo.
Siyo kweli, kwa mfano Tanzania Ukristo una miaka 100-150 tu, kabla ya hapo mbona hakukuwa na hayo maendeleo? Isitoshe kama yangekuwepo tusingetawaliwa, usisahau Shule za kwanza kama tuzijuavyo leo hii zilijengwa na watu wa Dini, pia Wamasai wengi hawana Dini ua Kiabrahamu mbona hawana hayo maendeleo?
Kwa sababu gani unasema ushirikina pia ni dini?Ushirikina ni dini pia
Hizi dini hasa ukristo mamboleo umefanya vilaza wawaogope wahuni wanaoitwa wachungaji kuliko hata MUNGU aliyetuumba.Straight to the topic.
Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani.
Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine.
Well hapa kwetu africa kuna dini kubwa mbili yaani uislamu na ukristo.
Na kwenye hizo dini kubwa mbili kila mtu anajiona yuko sahihi na kitabu chake ni sahii na dini ndio sahihi.
Na dini nyingine zaidi ya kwake ni ya uongo wala si ya kweli.
Cha ajabu hizi dini sio za africa bali zinatoka nje ya africa. Unaona akili ya mwafrika ilivyo hapo?
Na cha kushangaza zaidi hizi dini kwa karibu asilimia 90% zinatoka kwa wakoloni walioivamia africa.
Na sio wakoloni tu waliotukandamiza watu weusi, hapana hata hizo dini zimekandamiza watu weusi.
Na bila shaka hizo dini zilikuwa na mipango ya muda mrefu kuanzia miaka 100 mbele ili zifanikiwe na kweli zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Kumbuka ukitaka kumteka mtu kwenye kila kitu basi anza kumteka ufahamu wake.
Dini za wakoloni ndio chanzo mojawapo leo tuko hapa.
**********
Binadamu unatakiwa uwe na uwezo wa kujitambua na kujielewa ili kuepuka kuendeshwa na hisia ila ukishindwa kujitambua na kujielewa basi tegemea uwe controlled na hisia na hiyo ni sign ya ukosefu wa hivyo vitu hapo juu na vingine vya ziada yaani
=Kujitambua
=Kujielewa
Unajua kuna vitu vya kuchagua na kuvifanya au kuvitenda na kuna vitu vya kuacha. Hayo yote yanategemea na ufahamu wako.
Sasa huyu muafrika kwa yote yale aliyofanyiwa kuteswa, kudhihakiwa, kudharirishwa na mengine mengi mabaya.
Still mwafrika huyu alikubali kupokea dini hizi za mkoloni na kukubali kuwa ndio ufahamu wake na kila kitu kwenye hiyo dini kipo sahihi na hatoruhusiwa kupinga au kuhoji chochote juu ya hiyo dini au atalaaniwa.
Mwafrika huyu mweusi amekubali kupokea dini ambayo.
=Amepewa na watu weupe waliomfanyia kila aina ya ubaya na ukatili.
=Kila mtume kwenye hizo dini ni mweupe
=Hata mungu wa kwenye hizo dini katuma watu weupe waje kutangaza hizo dini weusi sijui kwanini kawaacha
=Alikubali kupokea dini ambazo mtu mweusi ni nembo ya shetani na nyeupe ni nuru ya malaika.
(Huo ni ubaguzi pure)
=Dini ambazo inasema mweusi amelaaniwa nk
Hapohapo Yaani mwafrika yupo tayari
=Akuue
=Akutukane
=Akudharirishe
=Akudharau
=Akupige
=Akudhihaki au chochote kile kibaya mwafrika atamfanyia mwafrika mwenzake sababu ya dini aliyopewa na mtu aliyemtesa, kumtukana, kumdhihaki na kumdharirisha.
Still mwafrika mweusi huyohuyo anaamini yeye amelaaniwa kwa rangi yake na yeye si chochote mbele ya mweupe kwani mweupe amebarikiwa.
Hapo hakumbuki kama hiyo dini kampa huyohuyo mweupe aliyemtesa na kumpiga mijeredi ya mgongo ili asiangushe pembe za tembo.
Yes huyo ndio mwafrika wa africa usijali hata humu watajitokeza watu kama hao. Asilimia kadhaa za hao watu wapo humu jf.
Na hapo mwafrika huyo bado ataendelea kumchukia mwafrika wa dini nyingine kivyovyote vile.
*******
Labda mababu zetu walikosa hivyo vitu yaani kujielewa na kujitambua hivyo wakawa wanaendeshwa na hisia bila wao kujua hivyo ikawafanya wasie na akili wala maarifa ya kueleweka.
Lakini binadamu anabadirika kadri muda unavyozidi kwenda
Hivyo hata sisi tunaweza kubadirika na kuanza kujitambua na kujielewa na sio kuendeshwa na hisia tena au Africans itakuwa ngumu kubadirika.
kila kitu kimerahisishwa na hao wazungu ambavyo si vya kupotosha na kukandamiza kama dini hivyo tunaweza kutumia hivyo vitu vizuri kuweza kubadirika na kujiongeza na sio kuendelea kubomoka.
Kumbuka nilikwambia binadamu anatakiwa awe na sifa ya kujitambua na kujielewa ili aisendeshwa na hisia au imani hivyo ni lazima kujua kipi cha kuchukua na kuacha na sio kupelekeshwa kama fuso bovu na hizo hisia kama mababu zetu waliokubali hizi imani.
*******
SASA HII IMEATHIRI VIPI UFAHAMU AU UBONGO WA MWAFRIKA.
=Well baada ya hapo mwafrika akawa muoga wa kuhoji "kwanini. sababu ya kuogopa kukufuru na kulaaniwa alafu alishaalaniwa mara kwanza.
=Mwafrika akawa mvivu wa kufikiri kwa kusema kila kitu anapanga mungu hivyo huyo mwafrika kubweteka chini akitegemea mungu atamfanya apate anachokitaka huku amekaa tu chini ya mwembe. Hadi leo hawa watu wapo na ndio masikini wa kwanza yaani mafukara.
=mwafrika huyu anaamini wazungu ndio wamebarikiwa na ndio maana wameendelea.
=mwafrika ubongo wake wote umelala sababu ameaminishwa yeye si chochote kwani amelaaniwa na ndo maana rangi yake nyeusi.
=mwafrika anaamini duniani anapita tu na yupo hapa kumuabudu mungu tu.
Hivyo huyo mwafrika kuendelea kufa masikini na kuendelea kuishi na changamoto sababu yeye kaja kumuabudu mungu tu na kuijaza dunia na si kingine wakati huo weupe wakiendelea kukua kila siku.
=Mwafrika anaogopa kutumia na kutegemea ufahamu wake sababu dini imemwambia asitumie ufahamu wake sababu mungu yupo.
Na anashindwa kujiuliza vitu vyote anavyotumia vimetokana na ufahamu.
=Na watu kugombana sababu ya dini iliyoletwa na weupe hata huyo mweupe akiona anaweza shangaa akili zao zilivyo za ajabu hao Africans wakimpigania mtume mweupe wa kwenye kitabu.
Na mpaka leo africa hatuna kitu ambacho kimetokana na sisi wenyewe, labda kama wangetuacha kipindi kike labda tungechelewa lakini tungepata ufahamu taratibu kuliko kutuharibu kabisa na hizi dini.
Mbona china wana dini zao lakini wana maendeleo makubwa sana na ni wamoja tena wana ufahamu mkubwa ukilinganisha na sisi.
Africans hatuna umoja wala ushirikiano sababu tunachukiana na kubaguana kidini kwa dini ambazo zililetwa na watu kutoka nje kitu ambacho ni ujinga.
Najua wengi mmerukia mwisho sababu ndio tabia zenu za kutokupenda kushughulisha vichwa vyenu.
Sasa nakuambia popote utakapomtukana mtu yoyote sababu ya tofauti za kidini basi tambua hiyo dini si asili yako bali ulipewa na mweupe ili apate kukuendesha na kukucontroll so think again.
Nadhani baada ya hapo tutaacha kutukanana, kudhihakiana, kudharauriana, kubaguana sababu ya dini na hapo ndio mwanzo wa kujitambua.
na wote kuwa kitu kimoja kitu ambacho hakiwezekani.
Unaruka huku na kule halafu unaishia kukanyaga pale paleTafadhali naomba urekebishe mada yako, ukristo sio dini. Kwaza kabisa kristo ni Mungu mtu. Ukristo ni Imani ya kuamini katika kristo. Dini ni mfumo, taratibu, sheria na kanuni anuai zinazoendesha imani ya kikristo
Kwa sababu gani unasema ushirikina pia ni dini?
Mchungaji wangu aliwahi kutufundisha kuwa, linapokuja swala la maendeleo tufanye kwa jitihada kubwa kana kwamba hakuna mwisho wa duniaStraight to the topic.

Nilisema dini zimechangia kudumaza ufahamu mwafrika na sio dini zimedumaza ufahamu wa mwafrika.Hebu muulize tu, babu wa babu yake alikuwa mkristo au Muisilamu???, kama hakuwa na moja kati ya hizo dini basi atuambie alikuwa na maendeleo gani mbali na kuwa mchawi na mshirikina katika zama hizo.
Nilisema dini zimechangia kudumaza mwafrika na sio dini zimedumaza ufahamu wa mwafrika.
Kuna tofauti hapo.
Mkuu mbona kila kitu kipo wazi?Dini Zimechangia kudumaza kitu gani???
Mkuu mbona kila kitu kipo wazi?
Wapi hujaelewa?
Yani unataka kuniambia waarabu hawajakomalia uislamu kama jinsi huku waafrika walivyoukomalia uislamu?Dini huko zilipotokea / kuanzia hata hawakomai nazo kivilee...
Njoo Africa sasa daah!! Utadhani wao ndiyo waanzilishi wa hizi dini, wanakomaa nazo...
Cc: mahondaw
Yani unataka kuniambia waarabu hawajakomalia uislamu kama jinsi huku waafrika walivyoukomalia uislamu?