wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Acha ku troll. Fanya research vizuri. Ukristu umeanzia ethiopia kabla hata wazungu hawajabadili story kwa manufaa yao.
Niliwahi kusema hata wazungu walikuwa na dini za asili lakini ukristo ulipowafikia waliacha dini zao za kiasili na wakaufuata ukristo.Maana ukristo umeanzia Israel na ukaenezwa dunia nzima.Lakini kumekuja kizazi Sasa Cha wazungu hawautaki ukristo na si ajabu wakarudi kwenye asili.
Bila Shaka ndio wanataka uhuru wa kijinsia na kuamua watakavyo bila kuwepo kipingamizi.
Na wanataka ukristo uondolewe Kila mahali.Haishangazi kuona marekani wanadai eti Kuna jinsia ya tatu.Kwa hio shuleni kuwe na vyoo vya jinsia tatu,,au sivyo jinsia ya kike na hio ya tatu zitumie choo kimoja.
Lakini kikwazo kikubwa kwao kikawa biblia na imani ya kikristo hivyo hutumia mbinu zote waichafue.ili waweze kuleta kitu wanachokitaka.
Wako huru Kama ma puppet wao huku Africa walivyo huru..ila wasitake Kila mtu achague njia yao.